Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Kuna sehemu uliandika wewe ni dini gani kabla ya kufanya mitihani ya necta?

Waislam waliofaulu kipindi cha ndalichako ilikuwaje?

Uislam na elimu dunia haviendi sambamba kwa namna fulani. Mfano akati muislam yuko radhi kuacha shule ili asome madrasa tu kwa mkristo sio sawa, mfano ndugu waroma catholic huwezi kuwa na nafasi ya juu katika kanisa Lao bila ya kuwa na elimu dunia nzuri.

So bado kuna kundi la waislam ambao hawazingatii elimu na wengine kuiona kama bado ni ukafir kusoma elimu dunia na hiyo ndo sababu kubwa inayofanya watoto wa kiislam wafeli alafu waanze kulalamika kwa sababu zisizokuwa na msingi.

Boko haram Nigeria dhumuni Lao kuu ni kuondoa elimu dunia Nigeria unasemaje kuhusu wao au nako ndalichako yupo.!?

Jiulize wewe wanaofanya Islamic Knowledge ni kina nani? Ndalichako?
 
Kiukweli watanzania mnanishangaza,yaani tangu mwaka 1973 lilipoundwa baraza la mitihani ,baraza hilo limekuwa likiongozwa na katibu mtendaji mroma.wote mnao dai kuwa kiongozi hachaguliwi kwa kigezo cha dini yake,na hata mimi naunga mkono kiongozi achaguliwe kwa uwezo.lkn swali hapa ni je watanzania wenye uwezo ni lazima wawe wakatoliki tuu.pamoja na hayo je hakuna waislam au madhehebu mengine wenye uwezo mpaka baraza la mitihani la taifa likawa kama PAROKIA? Haya mambo ya kujimilikisha taasisi za umma ndio yaliyoleta machafuko nchi za wenzetu na sasa umefika wakati kwa rais kulifanya baraza la mitihani kuwa na sura ya kitaifa na si parokia tena kama wanavyolfanya sasa.

kama suala la sikukuuu zenu tarehe tu inawashinda ndio... necta mtaiweza
 
hiyo naafasi wangempa mkufunzi wa chuo ndg ponda a.k.a mcheza karate

acha dhihaka mkuu, NECTA haihitaji Koran wala Bible. Hata wapagani wanapeta tu. Kuna waislam wengi wasomi, wapewe tu
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.


Kama wewe jasiri nenda kamueleze aneteua,siyo kujishaua hapa Jf.
 
tunataka hiyo nafasi aishike muislaam haijawahi kushikwa na muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na ndalichako.
hivi nafasi ya katibu wa necta huwa shughuli yao ni kusalisha/kuswalisha? Tanzania na udini wapi na wapi hapa ni uwezo tu na kupigania nafasi, karne hii bado mnashabikia udini katika utendaji wa kazi za umma, tukiacha kasumba hii iendelee tutaingia katika mgogoro tu baadae utakuja ukabila nchii ina makabila zaidi ya 130 itawezekana makabila yoye yashike kila nafasi, au dini zote zishike kila nafasi? Hatuendi hivyo jamani mbona rais na makamu wake ni wa dini hiyo nani anauliza? Tutauliza kuwajibika au kutowajibika kwao tu, unataka imani yako ienziwe, ni huko kwenye nyumba yako ya ibada, sasa unataka wachora zombi kwa sababu ni wa dini fulani ndo wawe viongozi? Hatutafika, msomi alafu mdini? Wapi na wapi au umesahau madhumuni ya dini kuja afrika?
 
Miaka 24 mfululizo Nyerere alileta maendeleo yepi? zaidi ya kuiwacha nchi hohehahe!

Hivi ccm kuna mkakati wa kumdhalilisha marehemu. Mwalimu Nyerere au ni dhamira yako mwenyewe? Its a big shame kila kukicha kuona watetezi wa ccm humu jf wakitoa maandishi ya kumdhalilisha muasisi wa taifa letu. Hivi mheshimiwa Nape na Kinana wanaweza kufurahishwa makada wao kutoa kashfa dhidi ya Mwalimu. Ritz hiyo user name badilisha usitake kuaibisha familia ya mkulu kwani tunaweza kudhani ni mwanae.
 
kama suala la sikukuuu zenu tarehe tu inawashinda ndio... necta mtaiweza

Hahahahaa umenifanya nifurahie cku ya leo pamoja na kukosa sehemu ya kula ubwabwa leo kwani Mwenye nyumba aliamuru kwamba iddy ni jana!
 
Mwenzenu kaenda kuongeza elimu, nyie mnashangaa-shangaa kama mmeachwa na Ndege huku mkipiga kelele. Mnapenda madaraka bila kusoma?
 
mbona waziri wa elimu ni muislam shida ni nn? ulalamikaj usio na tija... kawambwa is the worst minister habebeki mpaka mbeleko inachanika... alikua miundominu kwa vile ile wizara ni nyeti ikabidi atolewe ameletwa elimu wakidhan ni wizara nyepesi badoi haiwez lakini hawez tolewa kisa anatoka bagamoyo na kuwaridhisha waislam kwamba wizara ya elimu inaongozwa na muislam
 
una uthibitisho?

Mkuu, huyo dada inawezekana hata uraia wake ukawa wakupandikiza, haitakii nchi mema, ukiona mtu anashabikia kuligawa taifa kwa makundi ya udini ni hatari sana. Anavyomchukia marehemu Nyerere hata amani iliopo anatamani itoweke, kuanze vurugu za kidini ili asingizie chanzo ni Mwalimu.
 
.... Sijui ni nani akae pale NECTA na aonekane ni mtakatifu na mkamilifu ....
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Inaonekana hakuna sifa kupata nafsi hiyo. tuongeze kupeleka watoto shule sio sukuli
 
nlikuwa nasubiri post ya udini kama hii nijue msimamo wenu
kwa hivo akiwekwa muislamu ndio watafaulu sana wanafunzi au?
Nampongeza aliemteua anaekaimu kwa sasa
Bakwata undeni baraza lenu la mitihani na mjitenge na NECTA kama mnaona mnaonewa
nlidhani bibie Faiza ana upeo kumbe kichwani zero kabisa
Bora umesema
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Narudia tena ombi langu Invisible na wenzio tuchunguze kama account ya bi Faizafoxy haijaingikiwa na inavurugwa..maana imekuwa majanga
 
Back
Top Bottom