Dola ya kiislamu haiwezi simama kwa nguvu ya upanga,hii imeshindwa kwa karne nyingi,bali kwa mikakati na mipango thabiti ya muda mrefu.
Mimi nawashauri msilalamike chukueni hatua,jiwekezeni katika elimu,mkiamua nchi hii inawaislamu wengi na siku hizi teknolojia imekua,kila mwislamu akichanga kiasi flani cha pesa kila siku,mtavuna pesa nyingi mzitumie kuanzisha mashule ya ngazi mbalimbali,nunueni ardhi ya kutosha kila sehemu kwa uwezo wenu,jengeni vyuo vya kada na ngazi mbalimbali,ufunzi stadi,colleges and institutes pamoja na universities.
Mkijiwekeza hivi miaka hamsini ijayo,mtajikuta mpo pazuri. Amkeni