naomba mnisaidie mie niko gizani, ndalichako alifanya udini upi? alihujumu vipi uislamu? tafadhali nisaidieni nami nijueHuyo kakaimu tu,lazima achaguliwe mwingine hatuna imani na huyo Charles msonde kwani naye anahusika na kulihujumu taifa.Alishirikiana na Dr. ndalichako kuhujumu waislamu. Sasa hivi ni mguu kwa mguu,tutakula sahani moja dhidi ya wote wanaolihujumu taifa na kuwabagua watu wengine. Ukipewa madaraka unapaswa kuwatumikiwa watanzania wote kwa haki na uadilfu,unaona fahari gani ukila ukashiba mwenzako akalala njaa?
Hahahaaa!!!, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilipatikana mwaka11964 baada ya muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.hakuna, ila wakristo ndo wamexoma humuoni mulugo
Bora huyu mama ameondoka, alikuwa analihujumu taifa kielimu angeendelea kuwepo hali ingekuwa mbaya sana. Udini wake umemletea matatizo. Hii nchi ni ya watanzania wote hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine, tena binafsi naona kuondoka kwake ni kama amechelewa vile. Hata huyo aliyekaimishwa sina imani naye kwani kama alikuwa msaidizi wake basi naye aondoke akafanye reseach apishe wengine waadilifu wakae nafasi hiyo kwani alishindwa kumshauri vizuri Dr.ndalichako.
Ni ajabu sana, sijui ni Dr wa aina gani ndalichako mpaka anakuwa bias kiasi hicho. Tunakushukuru mungu kwa kutuondolea uozo wa aina ya huyu mama. Laita angeendelea taifa lingeenda kuzimu. Mbona chuo kikuu upuuzi wa aina hiyo hakuna, mfano Sokoine university, kuprob.hakuna mwenyewe mpaka watoto wa malecturers wanaprob kama kawa, hata kudisco pia,mpaka rais wa chuo anadisco, so why ndalichako unawahujumu watu wengine tena watanzania wenzako bila hata huruma mpaka wenyewe wanashituka,aibu gani hiyo mama!! je na wewe ungehujumiwa kiasi hicho ungefurahi. Malipo ya ubaya ni aibu,haya fedhaha hiyo imekukumba na wenzako wamekusitiri tu kuwa ukafanye research,lakini hiyo mama nitolee hiyo. Ulitaka mpaka kumponza Dr. kawambwa.
Baraza la mitihani ni sehemu nyeti sana, tunahitaji muadilifu pale bila kujali dini yake.Tanzania itajengwa na watanzania. Kumfelisha mtu kwa dini yake hakuna tija kwa taifa.Hatutaki kuona baraza la mitihani linakuwa kigango cha watu fulani,sasa hivi watu wamesoma wanajua,huwezi ukafanya jambo ukategemea watu wasijue,hasa ukizingatia kuwa kila jambo linamwisho.
Mungu waumbue wote wenye hila na nchi yetu.
ZantsanUkiangalia wanaomtetea Dr Ndalichako wote ni wakristo kwa sababu ni wanufaika wa huyu mtu,lakini mwislam anayejitambua hawezi kumtetea huyu mama.Mtu mwadilfu utamjua tu kwa matendo yake,hebu mtazame Magufuri,mtazame mwakyembe,watu hawa wakisemwa vibaya hata waislam hawatakubali,lazima wawatetea,kazi zao zinaonekana lakini si ndalichako anayeendesha baraza kwa kupata maelekezo kutoka kigangoni kuwahuju waislamu.
Bado tunaendelea kuangaza taasisi nyingine, sasa hivi tunaendelea kwanza na sehemu nyeti kabisa ya taifa.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Ndalichako elected new AEAA President
![]()
THE Executive Secretary for the National Examination Council of Tanzania (NECTA), Dr Joyce Ndalichako, has been elected new President for the Association for Educational Assessment in Africa (AEAA).
Dr Ndalichako was chosen during the just ended 31st AEAA conference organised by NECTA. The NECTA Executive Secretary who previously has been serving as the Vice- President of the AEAA will be in-charge of the Pan African education body for one year. "During my tenure I will make sure that education assessors on the continent are well trained under the ‘capacity building' initiative and would like to encourage Tanzanians to make good use of the country's position at AEAA to also pursue further training," stated Dr Ndalichako. She pointed out that since Tanzania has only one examination body, exam assessors in the country needed other platforms from which they can get developed technically and academically, even if it means to seek assistances from international organisations as the AEAA. The new president also expressed gratitude to members of the association as well as the delegation at the 31st conference for electing her on the highest position. Education experts from all over the continent were meeting here for five-day 31st Annual Conference of the AEAA running under the theme: Enhancing Assessment Practices for Quality Education. The Second Vice-President in the Revolutionary Government of Zanzibar, Amb. Seif Ali Iddi opened the conference on Monday; calling for African countries to evaluate the success of education delivery. There is a need to innovate assessment practices which provide reliable results reflecting the candidate's attainment of the intended learning objectives. Countries that participated in the conference include Mozambique, Gambia, Kenya, Uganda, Zambia, South-Africa and the host Tanzania, as well as overseas participants from the United States (US), United Kingdom (UK), Germany and China. Tanzania is hosting the AEAA conference for the fifth time having played the same role previously in 1983, 1987, 1992 and 2002, before hosting the event again this year (2013) in Arusha. Next year, the 32nd conference will be held in Lusaka, Zambia. This year's conference addressed, among other topics, the role of classroom assessment practices in improving quality of education; enhance teachers' capacity in assessments, for improving the quality of education and the impact of information and Communication Technology in educational assessment. The week-long meeting also dealt with the relationship between continuous assessment and final examination scores: Implications on quality of education, dynamics of languages in assessment and learning outcome and the challenges associated with assessment of soft skills for quality Education. The participants also debated about innovations in assessment practices and their implications in improving quality of education, as well as the impact of security breach on quality of examination and assessment. Founded in 1982, the AEAA, with main offices in Lusaka, Zambia, operates along the main guiding policy of ‘Harmonisation of Educational Assessment on the African continent.' The major objectives for the AEAA include; promoting co-operation amongst examining and assessment bodies in Africa; encourage relevant examining and assessment activities among members and sponsoring international participation in the field of educational testing and examining.
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/21220-ndalichako-elected-new-aeaa-president
naomba mnisaidie mie niko gizani, ndalichako alifanya udini upi? alihujumu vipi uislamu? tafadhali nisaidieni nami nijue
Kwani hawa ndugu zetu utawaitaje?Kusema mtu anafelishwa NECTA kwa dini yake....utakuwa kati ya hizi category tatu :
1. Mjinga - hujui chochote ila unapropagate maneno unayoyasikia kwa watu wengine kwa sababu wana
agenda zao na wewe unayasema tu sababu labda unawaamini hao watu. Mtu wa aina hii akielimishwa anaweza
badilika provided ujinga wake haujapofushwa na imani yake ya dini (kwa sababu point uliyoiraise umeihusisha na dini).
2. Mtu mbaya (Evil) -Unajua unachokisema si kweli ila ni kati ya wale wenye agenda za siri.....Mtu wa aina hii kwa mawazo yangu ni mtu mbaya sana...namfananisha na mchawi.
3. Upumbavu....yaani unaongea ongea tu.....unaweza kumwita mtu mwizi bila ushahidi, au mchakachuaji bila ushahidi
au ukasema (kama ulivyosema) watu wanafelishwa kwa dini zao bila ushahidi...upumbavu tu.......
May be kuna categories nyingine, lakini za kwangu (ambazo naamini wewe utakuwa unafiti kwenye mojawapo) ndio hizo hapo. Chagua mwenyewe unafiti kwenye ipi.....
Mkimaliza ya wakristo mtahamia wapi ? Kwani nyie ni kitu kimoja kweli ? A a a a h, umaskini ni mbaya kuliko malaria.
Wenyewe kwa wenyewe wanamalizana.Mkimaliza ya wakristo mtahamia wapi ? Kwani nyie ni kitu kimoja kweli ? A a a a h, umaskini ni mbaya kuliko malaria.
Ukiangalia wanaomtetea Dr Ndalichako wote ni wakristo kwa sababu ni wanufaika wa huyu mtu,lakini mwislam anayejitambua hawezi kumtetea huyu mama.Mtu mwadilfu utamjua tu kwa matendo yake,hebu mtazame Magufuri,mtazame mwakyembe,watu hawa wakisemwa vibaya hata waislam hawatakubali,lazima wawatetea,kazi zao zinaonekana lakini si ndalichako anayeendesha baraza kwa kupata maelekezo kutoka kigangoni kuwahuju waislamu.
Bado tunaendelea kuangaza taasisi nyingine, sasa hivi tunaendelea kwanza na sehemu nyeti kabisa ya taifa.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Yani wewe kwa akili yako mzanzibari aongoze elimu?Ulichosema ni sahihi kabisa. Toka kuanzishwa kwa baraza hilo Makatibu watendaji wake woooote na manaibu makatibu watendaji woooote ni WAKRISTO na hakuna muislam hata mmoja aliyewahi kushika nafasi hizo mbili za juu toka kuanzishwa.
Lakin cha kusikitisha zaidi HAKUNA NA MZNZ mmoja aliyewahi kushika madaraka ya juu japo chombo hicho kinatunga mitihani mpaka Znz kama chombo cha muungano.
Ok. Tusubiri tusikie uteuzi utasemaje.
Pole mate wangu Joyce.
Kumbuka matokeo ya somo la islamic knowledge walifelishwa wote na baraza hilo mwaka 2011.
baada ya uchunguzi ikagundulika yalifanyika makosa katika kukokotoa na waligawanya maksi zile mara mbili na hivyo kusababisha waislam wengi kufeli somo hilo.
Hilo lilipigiwa kelele na wengi sana na alitakiwa kujiuzuru.