Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Mungu atakupa pengine, mlango wa mbele ukifungwa amini wa uani upo wazi, Mungu pekee ndo anajua utendaji wako hakuna mwingine hapa duniani.
 
we mdini mkubwa waambie waislamu wenzako wapeleke watoto wao shule na wajenge shule na vyuo poor islamic followers.

Kuna udini zaidi ya huu:

Courtesy Gavana
Re: Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere
Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere


Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa

unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:


Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya

bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto

mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA

TANGANYIKA'.



Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo

cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya

Roma.



Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya

Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.


Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa

kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa

kwenye gazeti la Tanganyika Standard.


Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele:


"KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".


Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa

ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.


Courtesy Gavana
 
Last edited by a moderator:
Umeandika vizuri,tatizo hufahamu kitu kimoja uchakachuaji haufanywi wakati wa usahihishaji, uchakachuaji hufanywa wakati wa kuingiza data kwenye computer kwa ajili ya kutoa matokeo,Ndio maana waislamu wengi wasiolizika na matokeo na wanapoenda kudai matokeo watazane scripts zao wanakuja kugundua kuwa wamefaulu kwa daraja la juu sana,watu mkuu hawakurupuki. Hilo ndalichako analijua.
Zantsan
1---Na wewe fanya uchunguzi vizuri mfumo wa usahishaji hauwezi hata siku moja kukosea kila karatasi ya mwanafunzi,lifanyie kazi hili muiokoe hii nchi na hizi chuki za udini,ndio maana makosa yaliyotoekea hayakuwa kwenye usahihishaji,wala uingizaji wa alama (Data Entry) MOD kama ataweza autuwekee taarifa iliyotolewa na waziri wa elimu Mh.Kawambwa akielezea nini kilichobainika kwenye uchunguziuliofanyika.
 
Last edited by a moderator:
Hatutaki ashike Imamu au askofu,tunataka nafasi ishikwe na mtanzania yeyote mzalendo na mwadilifu kwa nchi na watanzania wanzake. Dr ndalichako mwenyewe kajinyang'anya tonge mdomoni kwa kuendekeza udini wake,tena bora ameondoka mwenyewe kabla ya maandano ya kumshinika atoke.
Kiti kimekaliwa na Charles Msonde kuwatumikia Watanzania wote
 
Tunasomeshwa kuhusu uadilifu toka madrasah, hapo hautuingii hata umalize vyuo vikuu vyote alivyotembelea Slaa.

Ungekuwa mwadikigu ungekuwa mdini? Unajua maana ya uadilifu? Unaonesha baada ya madrasa jkiinhia kwenye juzuu na hujawahi kuishi na watu wa imani nyingine zaidi ya hiyo ya kwako. In other words you have no exposure.
 
Tutaanza kushuhudia madhara ya akili ndogo kuitawala akili kubwa. Big Results Now!
 
Kiti kimekaliwa na Charles Msonde kuwatumikia Watanzania wote
Huyo kakaimu tu,lazima achaguliwe mwingine hatuna imani na huyo Charles msonde kwani naye anahusika na kulihujumu taifa.Alishirikiana na Dr. ndalichako kuhujumu waislamu. Sasa hivi ni mguu kwa mguu,tutakula sahani moja dhidi ya wote wanaolihujumu taifa na kuwabagua watu wengine. Ukipewa madaraka unapaswa kuwatumikiwa watanzania wote kwa haki na uadilfu,unaona fahari gani ukila ukashiba mwenzako akalala njaa?
 
Umeandika vizuri,tatizo hufahamu kitu kimoja uchakachuaji haufanywi wakati wa usahihishaji, uchakachuaji hufanywa wakati wa kuingiza data kwenye computer kwa ajili ya kutoa matokeo,Ndio maana waislamu wengi wasiolizika na matokeo na wanapoenda kudai matokeo watazane scripts zao wanakuja kugundua kuwa wamefaulu kwa daraja la juu sana,watu mkuu hawakurupuki. Hilo ndalichako analijua.

Either wewe ni muongo au unaongea ongea tu kama walivyo wapumbavu wengi tu hapa !. Hebu tupe ushahidi wa hao waislamu wengi wanappeal na baadaye kupata madaraja ya juu sana !. kwa taarifa yako marks kwenye computer zinaingizwa na hao hao wasahihishaji vituo vya usahihishaji na baadaye zinakuwa imported directly to NECTA systems.
 
Ungekuwa mwadikigu ungekuwa mdini? Unajua maana ya uadilifu? Unaonesha baada ya madrasa jkiinhia kwenye juzuu na hujawahi kuishi na watu wa imani nyingine zaidi ya hiyo ya kwako. In other words you have no exposure.

She's an ignorant idiot who really need to be put on the re-education camp programs in order to rid her of evilish beliefs she possesses.
 
Huyo kakaimu tu,lazima achaguliwe mwingine hatuna imani na huyo Charles msonde kwani naye anahusika na kulihujumu taifa.Alishirikiana na Dr. ndalichako kuhujumu waislamu. Sasa hivi ni mguu kwa mguu,tutakula sahani moja dhidi ya wote wanaolihujumu taifa na kuwabagua watu wengine. Ukipewa madaraka unapaswa kuwatumikiwa watanzania wote kwa haki na uadilfu,unaona fahari gani ukila ukashiba mwenzako akalala njaa?
Ninaamini hata apewe Shehe Ponda bado mtaendelea kulalamika kama watoto wa kambo
 
Either wewe ni muongo au unaongea ongea tu kama walivyo wapumbavu wengi tu hapa !. Hebu tupe ushahidi wa hao waislamu wengi wanappeal na baadaye kupata madaraja ya juu sana !. kwa taarifa yako marks kwenye computer zinaongizwa na hao hao wasahihishaji vituo vya ushahihishaji na baadaye zinakuwa imported directly to NECTA systems.
Zantsan
Naona unaanza kupatiwa majibu yanayoeleweka,nawashauri fanyieni kazi matamko yenu kabla ya kukurupuka hapa JF.
 
Hivi zile namba za mtihani zinaonyesha jina la mwenye namba hiyo kuwa ni dhehebu gani? Sasa huo uonevu unatolewaje? Au ni kwenye ule ule mtihani wa dini tu?

Nani mwanzilishi wa hizo namba kama sio muislam!
 
Basi katika watu wanaofikiria kidogo ni hawa jamaa wanadai et wanaonewa maksi na necta badala ya kusoma , ukiwauliza haya mna shule ngapi hapa tanzania hata zinazoshika nafasi ya juu?? Ukiwauliza mnavyuo vingapi mnavyomiliki kama taasisi yenu utasikia kimoja kipo morogoro?? Ukiwauliza redio/tv ngapi mnamiliki hapa tanzania utasikia ni redio tu ipo morogoro inasikika moro tu,?? Alafu wanataka marksi za bureeeeeeeee, kusoma hamtaki, kweli mnakazi kubwa sana nyiinyi, ukiwauliza haya na nyinyi sio bure??? Wakati wenzenu wanamiliki vyuo zaidi ya 20 hapa tanzania nyinyi mnamiliki kimoja alafu mnataka tuwape nafasi kubwa bule kule tunahitaji wasomi sio wakaa vijiweni, mnakazi kubwa nyinyi bila shaka hamnazo.
 
[h=2]Ndalichako elected new AEAA President[/h]
ndalichakio_300_235.jpg


THE Executive Secretary for the National Examination Council of Tanzania (NECTA), Dr Joyce Ndalichako, has been elected new President for the Association for Educational Assessment in Africa (AEAA).
Dr Ndalichako was chosen during the just ended 31st AEAA conference organised by NECTA. The NECTA Executive Secretary who previously has been serving as the Vice- President of the AEAA will be in-charge of the Pan African education body for one year. “During my tenure I will make sure that education assessors on the continent are well trained under the ‘capacity building’ initiative and would like to encourage Tanzanians to make good use of the country’s position at AEAA to also pursue further training,” stated Dr Ndalichako. She pointed out that since Tanzania has only one examination body, exam assessors in the country needed other platforms from which they can get developed technically and academically, even if it means to seek assistances from international organisations as the AEAA. The new president also expressed gratitude to members of the association as well as the delegation at the 31st conference for electing her on the highest position. Education experts from all over the continent were meeting here for five-day 31st Annual Conference of the AEAA running under the theme: Enhancing Assessment Practices for Quality Education. The Second Vice-President in the Revolutionary Government of Zanzibar, Amb. Seif Ali Iddi opened the conference on Monday; calling for African countries to evaluate the success of education delivery. There is a need to innovate assessment practices which provide reliable results reflecting the candidate’s attainment of the intended learning objectives. Countries that participated in the conference include Mozambique, Gambia, Kenya, Uganda, Zambia, South-Africa and the host Tanzania, as well as overseas participants from the United States (US), United Kingdom (UK), Germany and China. Tanzania is hosting the AEAA conference for the fifth time having played the same role previously in 1983, 1987, 1992 and 2002, before hosting the event again this year (2013) in Arusha. Next year, the 32nd conference will be held in Lusaka, Zambia. This year’s conference addressed, among other topics, the role of classroom assessment practices in improving quality of education; enhance teachers’ capacity in assessments, for improving the quality of education and the impact of information and Communication Technology in educational assessment. The week-long meeting also dealt with the relationship between continuous assessment and final examination scores: Implications on quality of education, dynamics of languages in assessment and learning outcome and the challenges associated with assessment of soft skills for quality Education. The participants also debated about innovations in assessment practices and their implications in improving quality of education, as well as the impact of security breach on quality of examination and assessment. Founded in 1982, the AEAA, with main offices in Lusaka, Zambia, operates along the main guiding policy of ‘Harmonisation of Educational Assessment on the African continent.’ The major objectives for the AEAA include; promoting co-operation amongst examining and assessment bodies in Africa; encourage relevant examining and assessment activities among members and sponsoring international participation in the field of educational testing and examining.
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/21220-ndalichako-elected-new-aeaa-president
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kama fikra za Watanzania zimefikia hivi,basi taifa hili lipo ICU.
 
Ukiangalia wanaomtetea Dr Ndalichako wote ni wakristo kwa sababu ni wanufaika wa huyu mtu,lakini mwislam anayejitambua hawezi kumtetea huyu mama.Mtu mwadilfu utamjua tu kwa matendo yake,hebu mtazame Magufuri,mtazame mwakyembe,watu hawa wakisemwa vibaya hata waislam hawatakubali,lazima wawatetea,kazi zao zinaonekana lakini si ndalichako anayeendesha baraza kwa kupata maelekezo kutoka kigangoni kuwahuju waislamu.

Bado tunaendelea kuangaza taasisi nyingine, sasa hivi tunaendelea kwanza na sehemu nyeti kabisa ya taifa.
 
Amechukua likizo tu kwa ajiliya kufanya utafiti, bado ni katibu mtendaji wa NECTA, huyu mama ni mchapakazi sana wamwache afanye kazi.
Kwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana
 
Back
Top Bottom