Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

Sijui pombe , Kuna wakati anashusha nyuzi nyingi kwa wakati mmoja halafu zote nonsensical hata timing ya kuachia nyuzi mpangilio mzuri wa maudhui yake.
Madogo wengi wanateswa na
Vitu vifuatavyo

Mapenzi,
Uraibu wa kamari,
Ukosefu wa ajira.

Hii inapelekea kuja kujiliwaza huku na nyuzi zisizokuwa na maana
 
bro tunaishi kwa kusaidiana,bila kujali dini ya mtu,tunaalikana kula,kunywa,tunazikana,tunasaidiana kwa kukopeshana fedha,sasa huu ukafiri unatoka wapi?
HAkika kwa bahati mbaya wwngi hawajui maybe wanajifanya tu, makusudi or they are too delusional plus ulimbukeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom