Yanga akiingia nusu fainali, Simba ataingia naye kwa kishindo

Zouzoutz

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
698
877
Huu si utabiri wala nasibu.

Kwa Sasa Simba ashapoteza "defence merchanisms" zote alizokuwa anajikingia dhidi ya mashambulizi ya Yanga

Kichaka cha "sisi wa kimataifa"....fyekelewa mbali

Kichaka cha huku kwa wanaume...fyekelewa mbali

Kichaka cha robo fainali...fyekelewa mbali

Hivyo vimebakiwa vichaka viwili tu,nusu fainali na rank za CAF,Simba akiwa na point 39 na Yanga akiwa na 31

Iwapo Yanga atapiita hatua hii huku Simba akigotea hapo hapo,basi Simba atakuwa "keshavuliwa ubingwa" na Yanga kwa rank maana Yanga atafikisha point 46

Simba kwa Sasa anacheza Ili kuhakikisha Yanga ampiti kimataifa,

Tena nashukuru CAF kwa kuiweka mechi ya Yanga saa tatu usiku huku ya Simba ikiwa saa tano tarehe 5 Ijumaa hii

Hivyo Yanga ataanza na Simba afuate baadae

Simba kwa Sasa anacheza mpira ila macho yake yapo kwa Yanga kwa asilimia mia

Ndo maana mitaani na mitandaoni Simba wanautumia muda wao mwingi kumfuatilia na kumjadili Yanga

Kwanini?

Kwakuwa anaenda kuiangusha himaya ya Simba ya kufikirika na ile ndogo ya kihalisia

Yanga akifuzu wa kwanza itakuwa na perfect motivation ya Simba kumchapa Al Ahyl kwake

Na Al Ahyl anaomba Mamelodi amtoe Yanga Ili Simba akose morali ya kupambana

Kwani Simba mpaka Sasa ana mentali ya TUKOSE WOTE.

Kwani Simba akiulizwa leo kipi bora kati ya nyie mapacha wawili kwenda nusu na Yanga kwenda peke yake Simba bila shaka watasema TUKOSE WOTE

NB:
Iwapo Simba atafuzu pamoja na Yanga bila kupepesa macho basi fainali ya mwaka huu itapigwa hapa hapa Bongo kati ya Simba na Yanga

Inshallah na ikawe kwa mustakabali mwema wa mpira wetu

Tukutane fainali
images (3).jpeg
 
Huu sI utabiri wala nasibu.

Kwa Sasa Simba ashapoteza "defence merchanisms" zote alizokuwa anajikingia dhidi ya mashambulizi ya Yanga

Kichaka cha "sisi wa kimataifa"....fyekekewa mbali

Kichaka cha huku kwa wanaume...fyekekewa mbali

Kichaka cha robo fainali...fyekekewa mbali

Hivyo vimebakiwa vichaka viwili tu,nusu fainali na rank za CAF,Simba akiwa na point 39 na Yanga akiwa na 31

Iwapo Yanga atapiita hatua hii huku Simba akigotea hapo hapo,basi Simba atakuwa "keshavuliwa ubingwa" na Yanga kwa rank maana Yanga atafikisha point 46

Simba kwa Sasa anacheza Ili kuhakikisha Yanga ampiti kimataifa,

Tena nashukuru CAF kwa kuiweka mechi ya Yanga saa tatu usiku huku ya Simba ikiwa saa tano tarehe 5 Ijumaa hii

Hivyo Yanga ataanza na Simba afuate baadae

Simba kwa Sasa anacheza mpira ila macho yake yapo kwa Yanga kwa asilimia mia

Ndo maana mitaani na mitandaoni Simba wanautumia muda wao mwingi kumfuatilia na kumjadili Yanga

Kwanini?

Kwakuwa anaenda kuiangusha himaya ya Simba ya kufikirika na ile ndogo ya kihalisia

Yanga akifuzu wa kwanza itakuwa na perfect motivation ya Simba kumchapa Al Ahyl kwake

Na Al Ahyl anaomba Mamelodi amtoe Yanga Ili Simba akose morali ya kupambana

Kwani Simba mpaka Sasa ana mentali ya TUKOSE WOTE.

Kwani Simba akiulizwa leo kipi bora kati ya nyie mapacha wawili kwenda nusu na Yanga kwenda peke yake Simba bila shaka watasema TUKOSE WOTE

NB:
Iwapo Simba atafuzu pamoja na Yanga bila kupepesa macho basi fainali ya mwaka huu itapigwa hapa hapa Bongo kati ya Simba na Yanga

Inshallah na ikawe kwa mustakabali mwema wa mpira wetu

Tukutane fainaliView attachment 2950606
Umekuwa msemaji wa simba wote... Sisi hatuna roho mbaya, kama kwenda nendeni tuu kwa usalama, mjue kwamba sisi tuna pambana na hali yetu.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom