LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Hawawezi kumsaidia Ukraine na Israel kwa wakati mmoja.
Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin ametoa taarifa kuhusu mashambulizi dhidi ya Israel yanayofanywa na wanamgambo wa Kipalestina.

"Ninafuatilia kwa karibu matukio nchini Israel. Ahadi yetu kwa haki ya Israel ya kujilinda bado haijayumba, na ninatuma rambirambi zangu kwa familia za waliopoteza maisha katika shambulio hili la kuchukiza dhidi ya raia," anasema.

"Katika siku zijazo Idara ya Ulinzi itafanya kazi kuhakikisha kuwa Israel inapata kile inachohitaji ili kujilinda na kuwalinda raia dhidi ya ghasia na ugaidi usiobagua."
 
Mbona nyie mnaona waarabu "Miungu Watu" na hatusemi
Watu wanaowatemea mate na kuwafanya kama mbwa kwa imani yenu tu, bado mnawakumbatia?

Hapana, sisi ni Waislam na tupo na wenye haki. Siyo Wapalestina wote Waislam, wapo Wakristo wengi sana, hatuwabagui. Kumbuka hilo.

kwani nyerere alivyokuwa anawaunga mkono wapalestina alikuwa anawaunga mkono kwa ajili ya Uarabu wao?
 
Wakiuawa waisrael 1,000, watauawa wapalestina 10,000.

Attention imehamia Israel, huko Russia atamaliza kazi kirahisi sana kwa Ukraine.
 
Waristo wote wa Ulaya waliwakataa kwa kutomtabuwa Yesu na ubaguzi wao. Walifikia mpka akuuliwa million 6 na mkatoliki Hitler.

Wewe nani zaidi ya kuwa ni muabudu mzungu tu.
Everything that happen to Israel, happens for the groly of GOD.

Ant semitic views are not pertaining to Christ anyhow.
 
GAZA: Palestinians assess damage and search for survivors after Israeli air strikes.
20231008_113755.jpg
20231008_113809.jpg
20231008_113804.jpg
20231008_113800.jpg
 
Just in:The Hostage Situation in the City of Ofakim has finally Ended with the Hostages being Saved by Special Tactics Teams and the Terrorists having been Eliminated; 2 Soldiers were Lightly-Injured during the Operation.
Wow, go Israel gooo
 
Yohana kaguswa sana na vita ila mimi nashangaa kwanini Lampedusa Italy inavamiwa na maelfu ya wakimbizi wa Kiafrika na hajatia neno.
Lampedusa ni kituo tu, sio mustakabali wao. Wanataka kuingia kwenye majiji makubwa ya Ulaya.
 
Nilitegemea kupata update kuhusu kinachoendelea huko battle field kwenye huu Uzi.., lakini badala yake nakutana na mipasho ya kidini na mipasho isiyo na muelekeo!

Kweli waafrika aliyeturoga kafa!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa kweli hata mimi nimekosa ripoti sahihi. Waafrika tutaendelea kuwa duni sana kwa ushabiki wa ovyo. Wayahudi na Wapalestina wote ni watu. Bado nasema UN ni genge la wahuni linalotegeneza migogoro duniani
 
Watu wengi tulidanganywa zamani mkuu ndio maana wapo wanaona Israel ni Taifa Teule la Wakristo wakati si kweli wale ni wapinga Kristo na walipata laana ya kutawanyika na kuwa watumwa wa Waroma kwa sababu hiyo...
Exodus 19 and 24.

This is the covenant God establishes with the people of Israel at Mt. Sinai after he led them out of Egyptian slavery. With it, God supplies the Law that is meant to govern and shape the people of Israel in the Promised Land.
 
Muwe mnatunza akiba ya maneno. Unahisi wapalestina na Hao Hizbolah wao hawakuwi eeenh, unahisi wapalestina wa 1970 ndio Hawa wa leo?
Kwaiyo unadhani wa Israel 1970 ndo Hawa wa leo_Ogopa nchi iliozungukwa na maadui kila upande?
 
Nilitegemea kupata update kuhusu kinachoendelea huko battle field kwenye huu Uzi.., lakini badala yake nakutana na mipasho ya kidini na mipasho isiyo na muelekeo!

Kweli waafrika aliyeturoga kafa!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hili naungana na wewe mkuu kp kipanya44 100%

Bongo ushabiki ni mwingi kuliko uhalisia. Ndiyo maana utakuta mtu mzima na akili zake anakwambia eti ^leo tumewachinja 600!^ Mara ^800 tumewalambisha mchanga!^ dah!!!
 
Wanamgambo Lebanon Hezbollah wamelipua Radar station ya Israel

// Morning of October 8th, status update:

– One radar station and two IDF outposts targeted with mortars and ATGMs by Hezbollah

– 27 IDF killed in operational activities to clear settlements from Palestinian infiltrators

– At least dozens, possibly hundreds of Palestinian fighters still inside Israeli settlements near Gaza

– Approximately 100 Israeli hostages, most of them active IDF soldiers, still in captivity of Hamas in Gaza

– Israeli Defense Forces unsucessful in entering the main combat phase and entering Gaza so far, Hamas sending reinforcements to captured settlements, especially Be'eri

@Middle_East_Spectator
 
Lampedusa ni kituo tu, sio mustakabali wao. Wanataka kuingia kwenye majiji makubwa ya Ulaya.
Ufaransa imeweka ulinzi mkali sana mpakani havuki mtu.

Lakini hapohapo Ufaransa inawapokea Wakimbizi maelfu kutoka Syria unaona ubaguzi ulipo?

Kiukweli sisi weusi tunajipendekeza tu hatutakiwi.
 
Back
Top Bottom