Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

....CCM wamewashambulia kwa mapanga na mishale vijana wa CDM usiku wa kuamkia leo kuelekea kupiga kurakata ya MSALATO, makamanda watatu hali zao ni mbaya na wanaendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa wa Dodoma

Mkuu tutajie majina ya makamanda hao,na wodi waliolazwa...haikubaliki kbs.
 
Jamani mlioko kwenye. Maeneo ya uchaguzi tupeni update kinachoendelea huko.
 
Huko Shinyanga:
Gari ya Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA) Mhe.Rachel Mashishanga imeshambuliwa kwa mawe wakati akipeleka mawakala vituoni asubuhi ya leo. Taarifa zaidi zinasema kuwa wafuasi wa ccm wamempiga mmoja wa mawakala hadi kumpasua jicho.

(c) Mhe. Rachel

cHaDeMa.......!!

Enyi wapinga maendeleo acheni hizo siasa chafu, mnawavamia wenzenu mkizania ni CCM......

CCM hakina asili ya vurugu na haitakuwa na vurungi, hivi vyote vinavyotokea ni matokeo ya upinzani ulio filisika kisiasa.

Siasa sio vurugu ndugu zangu, siasa ni apambanifu wa hoja tu, sasa nyinyi wapinga maendeleo (upinzani) msiojua kufanya siasa mnaigeuza na kuifanya uwanja wa mapambano.

Shame on you.
 
[h=5]Ephata Nanyaro
[/h][h=5]Hadi sasa zoezi limeenda vizuri,baada ya ccm kuona kuwa waliowahonga hawajajitokeza asubuhi,wameanza kupiga wananchi,na mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi hewani,ili kutisha wananchi wasijitokeze.Kimsingi ccm wamepanic sana.
[/h]
 
cHaDeMa.......!!

Enyi wapinga maendeleo acheni hizo siasa chafu, mnawavamia wenzenu mkizania ni CCM......

CCM hakina asili ya vurugu na haitakuwa na vurungi, hivi vyote vinavyotokea ni matokeo ya upinzani ulio filisika kisiasa.

Siasa sio vurugu ndugu zangu, siasa ni apambanifu wa hoja tu, sasa nyinyi wapinga maendeleo (upinzani) msiojua kufanya siasa mnaigeuza na kuifanya uwanja wa mapambano.

Shame on you.

Umetimia au
 
Mh Rachel Mashishanga, nini hasa lilikua tatizo, na vyombo vya usalama hapo wamechukua hatua gani?

Maaskari wamechelewa kwenda site na hivyo CCM wakamwaga vijana waliokuwa na visu na makombeo huku wakinywa viroba,katika Hali ya kawaida tu hapo virugu lzm! Otherwise watu wanaendelea kupiga kura ila Nina wasiwasi Kama polisi hawataongeza ulinzi wakati wa zoezi kuicha tutachinjwa ovyo!
 
cHaDeMa.......!!

Enyi wapinga maendeleo acheni hizo siasa chafu, mnawavamia wenzenu mkizania ni CCM......

CCM hakina asili ya vurugu na haitakuwa na vurungi, hivi vyote vinavyotokea ni matokeo ya upinzani ulio filisika kisiasa.

Siasa sio vurugu ndugu zangu, siasa ni apambanifu wa hoja tu, sasa nyinyi wapinga maendeleo (upinzani) msiojua kufanya siasa mnaigeuza na kuifanya uwanja wa mapambano.

Shame on you.

Alokuroga alitumia zindiko kali sana, No wonder hata jinsia yako huijui wewe
 
Maaskari wamechelewa kwenda site na hivyo CCM wakamwaga vijana waliokuwa na visu na makombeo huku wakinywa viroba,katika Hali ya kawaida tu hapo virugu lzm! Otherwise watu wanaendelea kupiga kura ila Nina wasiwasi Kama polisi hawataongeza ulinzi wakati wa zoezi kuicha tutachinjwa ovyo!

Mkuu Mungu yu pamoja nasi,atatupigania na kila damu idondokayo itakuwa laana juu ya watawala wababe,wezi.
 
Back
Top Bottom