Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

Huko Shinyanga:
Gari ya Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA) Mhe.Rachel Mashishanga imeshambuliwa kwa mawe wakati akipeleka mawakala vituoni asubuhi ya leo. Taarifa zaidi zinasema kuwa wafuasi wa ccm wamempiga mmoja wa mawakala hadi kumpasua jicho.

(c) Mhe. Rachel

Whaaaaat?? Hebu pata details zaid mkuu utujuze. Mtu kapasuliwa jicho????
 
....CCM wamewashambulia kwa mapanga na mishale vijana wa CDM usiku wa kuamkia leo kuelekea kupiga kurakata ya MSALATO, makamanda watatu hali zao ni mbaya na wanaendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa wa Dodoma
 
Huko Shinyanga:
Gari ya Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA) Mhe.Rachel Mashishanga imeshambuliwa kwa mawe wakati akipeleka mawakala vituoni asubuhi ya leo. Taarifa zaidi zinasema kuwa wafuasi wa ccm wamempiga mmoja wa mawakala hadi kumpasua jicho.

(c) Mhe. Rachel

pole sana makamanda wote walio shambuliwa silaha pekee ya ccm ni kuchinjachinja..
 
NEC walishasema hawatafanyia marekebisho hilo daftari. Mpk mwaka 2014.

mmh! kumbe maraisi na wabunge nchi hii ndo viongozi wa wananchi t? hawa madiwani simply ni watu wasiokuwa na tija kama wangekuwa nayo basi wasingesema hvi unless wawaruhusu wananchi kuchagua pasi kuwa na kadi za kupigia kura.
 
Chadema tujiandae kuumizwa na kuuliwa kwani hakuna uhuru unaopatikana kirahisi,tena uchaguzi mkuu itakuwa ni vita haswa kwani ccm hawako tiari kuachia nchi kwa AMANI.Tukilijua hilo nchi tunaikomboa!
 
Wakuu huyo kijana kang'olewa meno na Yuko hospital ya mkoa! Hali bado si shwari kwa kweli huku! Na si wakala ni mwana CHADEMA tu! Mawakala wanaendelea na kazi zao vizuri.

Unaweza kutujuza jinsi ilivyokuwa mpaka kamanda akatolewa meno???? Mpe pole sana kamanda.
 
kwa wenye taarifa mbali mbali za jinsi chaguzi za udiwani zinavyoendelea kote nchini naomba mtujuze wanajamvi
 
Back
Top Bottom