Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

Mkuu kuna thread zaidi ya Mbili zinatoa updates acha uvivu mkuu...Click kwenye New Posts

Crash; vipi tena wewe uko wapi mida hii? au ndio tayari upo kwenye kiti kirefu!! mie tangu kuche sijazima computer nipo tu naziona news zinazoingia na kutoka. hebu nambie nami nikufuate nije kupunguza huu uvivu wa Ku........
 
Wakuu huyo kijana kang'olewa meno na Yuko hospital ya mkoa! Hali bado si shwari kwa kweli huku! Na si wakala ni mwana CHADEMA tu! Mawakala wanaendelea na kazi zao vizuri.

mkuu toa maelezo ya kina tujue imekuaje hadi gari yako ipasuliwe vioo. yaani toa maelezo ya kujitosheleza kuweka kumbukumbu sawa.
 
Damu ya mtu asiye na hatia huwa haimwagiki hivihivi, nanasababisha damu imwagike wajue itawalilia tu, na laana itakuwa juu yao
 
cHaDeMa......!!

No wonder....

hizi ndizo akili na mawazo ya wanacHaDeMa wengi humu jf....

Shame on you
Wewe ni kilaza na umejawa na upofu kwa hyo huu ***** unaondika ndivyo unavyodhihirishakua unatumia akili uloipata ya Chekechea
 
Wakuu huyo kijana kang'olewa meno na Yuko hospital ya mkoa! Hali bado si shwari kwa kweli huku! Na si wakala ni mwana CHADEMA tu! Mawakala wanaendelea na kazi zao vizuri.

Rachel, kwenye Nyekundu sijakuelewa unamaanisha nini! ni kama sio issue sana kwa kuwa si wakala
 
Risasi, ngumi na vitisho vingine vyovyote kamwe haviwezi kuishinda nguvu ya umma. Mungu yupo pamoja nasi. Ushindi kwa CHADEMA ni lazima.
 
kinachotakiwa tupunguze kuwa wapole,akipigwa mmoja wetu wao tunapiga watano hadi wakubari somo.
 
Rachel, kwenye Nyekundu sijakuelewa unamaanisha nini! ni kama sio issue sana kwa kuwa si wakala

Hapana jaribu kusoma uzi wote utaelewa ni kwa nini kasema hivyo. Mwanzoni ilikuwa imeelezwa kwamba aliyepigwa ni wakala wa Chadema na ndo maana ameweka ufafanuzi huo.
 
Hapana jaribu kusoma uzi wote utaelewa ni kwa nini kasema hivyo. Mwanzoni ilikuwa imeelezwa kwamba aliyepigwa ni wakala wa Chadema na ndo maana ameweka ufafanuzi huo.

Sawa mkuu, nimesema hivyo kwa maana nzuri kabisa. inawezekana haujanielewa sahihisho langu kwake, ila matumizi ya 'tu' inapokuja swala la watu, either idadi au status, inaweza leta mjadala usio na tija.

Mifano halisi iliyowahi kutokea. Mr. Chenge na Vijisent, Kiongozi aliyepata wakati mgumu baada ya kukanusha kuwa waliokufa kwenye ajali sio watu 50, ni watu 20 tu.
 
Huko mbozi kata myovizi wanachadema wa3 wamepigwa mapanga na kulazwa hospital ya wilaya.na Huko mpapa polis kapigwa Lwali ujinga wake na wanachadema.
 
Kuna thread nyingi sana zinazoelezea yanayojiri katika kata zenye uchaguzi. Peruzi utaziona.
 
Back
Top Bottom