Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Nadhan tabia za usaliti na tamaa huonekana mapema hata kabla mtu hajapata kazi. its just watu wanaficha makucha yao... ndio maana kwenye uchumba vijana tunaaswa kuwa makini..... kabla ya kuingia kwenye ndoa na mwenzi wako.. hakikisha unajua atleast tabia zake.
 
Yaani ni mgeni ofisini na ushaanza umbea?

Nadhani unazungumzia watu wasiojitambua...kama mtu ni mhuni haijalishi yupo karibu na mwenza wake au mbali atafanya tu uhuni.

Mtu anajiuza kwa laki 1 anakupa
mzigo ngumu hiyo tusidanganyane!!....kutembea baina ya wafanyakazi hiyo ipo lakini kujiuza kwa dau mmmh uongo.
Ikiwa ukatoa dau la 300,000 unapewa mpaka tigo.
 
Kama una mwenza nyumbani acha kazi uchunge mzigo wako.Watakuwa wanaupakua ukiwa kazini! Sijui mtakuwa mnakulana matako?
 
Majibu yao utayasikia hapahapa subiri usiondoke mkuu...
 
Dah uko sahihi kabisa...mi mwaka jana nilkuwa field tu ofisi moja hivi ya serikali mjin apo...nikachelewa kutoka siku moja..sasa wakati naendelea na kikazi changu nikawa nasikia kelele ofisi iliyokuwa jiran..nikajua jamaa anacheki porn..baadae kabisa nawaona wanatoka wawili jinsia tofauti duh...kesho yake namsimulia jamaa yangu mwenyeji ananyambia hiyo ni kawaida sana
 
Yaani ni mgeni ofisini na ushaanza umbea?

Nadhani unazungumzia watu wasiojitambua...kama mtu ni mhuni haijalishi yupo karibu na mwenza wake au mbali atafanya tu uhuni.

Mtu anajiuza kwa laki 1 anakupa
mzigo ngumu hiyo tusidanganyane!!....kutembea baina ya wafanyakazi hiyo ipo lakini kujiuza kwa dau mmmh uongo.
Jaman katoa kama ushaur tyuuu tusibishe kwanza je asemayo yapo au hayapo?
 
Unaulizia hadi bei, usiwe unapenda kujua vitu usivyo vipenda bandugu! Chapa kazi waache na ufuska wao mkuu
 
Hii story hainogi bila kuweka picha za hao staff wa kike wanaoigiza ulokole...

Na namba zao uweke hapa maana ndio vitu vyangu hivyo vile napendaga...

Sipendagi ujinga wa kuachia fursa hivihivi mimi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu we siyoo wa nchi hii[emoji1] [emoji1] [emoji1] unataka ukawagegede
 
Wanabodi, kama umeoa au umeolewa na mme au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa.

Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu!

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa,Mme wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete!

Hivyo basi ushauri: kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua!!.
Hicho ulichoandika hapo ndicho ulifata huko?
Kwahiyo tuache kazi?
 
Fanya lililokupeleka yatakushinda
 
Back
Top Bottom