Yaliyomsibu kaka yangu

Yaliyomsibu kaka yangu

mdogo wangu denda lishakuwa NOMA,mouth,throat cancer etc tena kuna utafiti mwingine ulifanyika bongo under Muhimbili and John Hopkins university
Nawafikishia huu ujumbe wapenda Denda ....kumbe hatuko salama . ..shukrani
 
Hivi nyuzi zimezidi kipindi hiki kuelekea pasaka kunamtu anapambaniwa na malaika kinyama lakini bado hasikii kutwaa yupo love connect anawaambia I love you crazy tuu.
 
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Bonge la script

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yako nae hajaukwaa kweli??

Au walikua hawa do?? mie sijaelewa hii story dada Sky???

kama walikua hawaja do,then kaka yako ni mfano wa kuigwa 😉😉, wanaume wa JF wajifunze sio mnakutana na mdada Vuuuup Kesho yake mna….??
 
Kaka yako nae hajaukwaa kweli??

Au walikua hawa do?? mie sijaelewa hii story dada Sky???

kama walikua hawaja do,then kaka yako ni mfano wa kuigwa 😉😉, wanaume wa JF wajifunze sio mnakutana na mdada Vuuuup Kesho yake mna….??
Tatizo ni pombe nyama choma na pilipili unasahau responsibilities
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom