Yaliyomsibu kaka yangu

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,447
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,447 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,463
Points
2,000
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,463 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
WAKUU,

HII NI CHAI YA BAGAMOYO ILIYOCHANGANYWA NA OIL YA BODABODA!!!!

KAMA NAWE UMEBAINI HILO,
LIKE TUJUANE!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Therapist 2015

Therapist 2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Messages
416
Points
500
Therapist 2015

Therapist 2015

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2018
416 500
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Asante kwa taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
positive is normal

positive is normal

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2017
Messages
487
Points
1,000
positive is normal

positive is normal

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2017
487 1,000
Ndio umuhimu wa hizo dawa zinapunguza uwingi wa virus mwilini hivo kupunguza kabsa hatar ya mambukizi kwa karibu asilimia tisin.
Kama mhusika anatumia dawa vizur na kufuata mashariti.
Nawashukuru sana wanaotupa misaada ya dawa hizi by 2030 kutakuwa no HIV kabsa hapa dunian.
Mana wenye navo watakufa navyo tu tukiwashaur vizur hawatawambukiza wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukafa wewe, Sisi ukatuacha, Hakuna ajuaye atatoka lini duniani, Wanaokwenda harusini ndio wanaokwenda msibani, maana siku hazifanani, Leo unasema u mzima kesho ukashindwa kuhema, leo umesimama wima kesho ukalala kimya, Kwa kifupi tu unatakiwa ufahamu ukisafiri ama ukiketi nyumbani popote ulipojistiri jua kifo kipo pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,212
Top