mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,374
- 3,887
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”
Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk sasa..
Sikujua kuwa mpenzi wangu anafahamiana na kaka yangu mpk siku nilipompost status nikimuwish happy birthday..
Kaka yangu alinifungukia kuwa wanafahamiana na wamepiga kozi wote kiufupi wanafanya kazi zinazofanana na wanajuana mpk vyumba wanavyoishi japo hawana urafiki ni ile wakikutana ndio wanakuwa marafiki..
Mpk Kaka yangu anakuja kufahamu nina mahusiano nae ilichukua mwaka mzima kumfahamu na sikumwambia kuwa tuna mahusiano nilimwambia tu marafiki
Kwa sasa tunaelekea hatua nzuri kaka yangu amenishikia king’ora kwamba huyo mwanaume hanifai niachane nae simuwezi.. ninapomuuliza sababu haniambii nikazielewa
Sababu mpk sasa nilioiona kubwa aliyoniambia ni kuwa
Kubwa la Leo ambalo limenifanya niombe ushaurii ni hili
Amesema kuwa huyu mpzn wangu alishawahi kutoa posa mahali halafu akahairisha kuoa.. na alimpa ujauzito huyo mwanamke ila aliukataa akasema atoe ujauzito,, mwanamke alipokataa kutoa mimba alimtumia hawara yake ampelekee Zawadi ya juice kumbe ndani ya juice kaweka dawa ya kutoa mimba
Hiyo story bro anadai kahadithiwa na ex wa mpnz wangu
Kiukweli nimeshindwa kuelewa nifanye nini.. Kijana nampenda na amekuwa mtu mwema kwangu mpk sasa tuna miaka 2 ya mahusiano sijaona baya kwake
Ushaurii wenu wakuu

- kabila la watu wa mwisho wa dunia sio kabila la kuolewa nao ( yeye ameishi sana huko so ana wafahamu)
- Ni washirikinaa sanaa ( anaamini kwamba huyu mpnz wangu kanipata kwa madawa) alinipa kielelezo Kuna rafiki yake mwingine wa kabila hilo alimpata mwanamke kwa madawa matokeo wamezaa watoto wawili mwanamke akili imefunguka kakimbiaa