Yaliyomsibu kaka yangu

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
37,088
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
37,088 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,299
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,299 2,000
Pole sana kwa kaka,,Mungu anatuepusha sana,,
Kuna dada angu pia alipata mkasa kama huu sema ni tofauti kidogo
walianza maisha katika hali ya chini sana Dada angu ndo alikuw amehitmu stashahada ya ualimu akaenda zake mwanza ndo akakutana na mkaka wakaanza kudate,,huyo kaka alikuw mwalimu wa primary wakaridhiana kuishi pamoja mpk Mungu akawabariki mtoto mmoja wa kike
wakat anafundsha huyo kaka alikuw na jiendeleza akafanya mtihan wa kitado cha sita akafaulu
Wakakubaliana mwanaume ndo aende kwanza kusoma chuo,akafanya application akapata chuo Tanga
akiwa chuoni kuna ela alikuwa anadaiwa kama milioni na laki sita (1.6m) alaf hakuwa nayo ela,,
lakin dada angu kwa kuwa alikuw anapenda maendeleo ya mume wake aliitafuta akamlipia bwana wake
baada ya shemeji yangu kutoka chuo akarudi mwanza
Dada angu nae akaenda chuo kikuu
huko Tanga
kilichokuja kutokea kipindi ambacho dada angu yuko chuo Tanga kumbe jamaa akaanza umalaya yani akawa anachepuka na wanawake bila mpangilio mpaka akanasa lile gonjwa la kisasa
siku moja dada akarudi kutoka chuo alipofika tu nyumbani marafiki wa dada wakampasha habari kuwa mume wake kabarika sana ana michepuko haina idadi
kilichotokea siku hiyo wakati anataka kwenda akiwa na mumewe chumbani akili ikamtuma aangalia uvunguni mwa kitanda
alishangaa kuona kondomu kibao zilizotumika,,yaani jamaa alikuw anachomoa kondom na kurushia uvunguni
chanzo cha kuvunja mahusiano kikaanza hapo
kesho yake dada akashinikiza waende kupima
wakaenda kupima
dada akaonekana yuko salama
bt uye jamaa amenasa
hawakuridhika wakaenda kituo kingne wakapima kwa kutumia vifaa bora zaidi dada akawa mzima bt jamaa amenasa
lakini mwanaume akawa haamini wakaenda tena sehemu nyingne majibu yakawa yaleyale mwanamke mzima mwanaume amewaka
japokuw dada alimpenda sana huyo mwanaume alijitoa kwa kila kitu kumsapoti lkn kilichokuja kutokea hakuamin macho yake
Dada alikuwa analia tu muda wote akikumbka walkotoka
alivomsadia huyo mwanaume mpka ahitimu chuo kikuu
wakanunua viwanja
wakajenga nyumba
alikuw akikumbka anabaki analia tu
lkn kwa hili aliamua kumkataa huyu mwanaume
dada alifuata process zote,,
kesi yake alishinda mwaka jana
kwa sasa anaendelea na maisha yake
ameshasaheme yote yaliyotokea japo kila mtu ana maisha yake kwasasa
huyo mwanaume alishakuw kichaa tu kwasasa anapiga watu hovyo

Hii ndo Dunia.


'Gear yourself to solutions in every problem'
Hili doa si rahis likafutika ndani ya moyo wa huyo dada!
 
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
1,322
Points
2,000
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
1,322 2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Dunia kweli tuko mwishoni. Hawapo wale binadamu wa zamani,wenye kujaliana. Siku hizi watu wamejaa tamaa,likianguka roli la mafuta wanatamani wammalizie kabisa dereva. Binadamu ni wanyama siku hizi,kuua mtu haoni shida. Sasa kama umegundulika ni muathirika kwa nini kwa makusudi unatamani kuua wengine. Huyo dada hakuna tofauti na wasiojulikana. Duuuh...! Kakaako ana bahati kweli kweli. Amjue sana MUNGU. Japo sisi binadamu sijui ni nini kinaifanya mioyo yetu iwe migumu?.
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
6,185
Points
2,000
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
6,185 2,000
Unaanzaje kupiga mzigo bila kupima?
Ni wanawake wachache Sana huwa wanajiwezesha na kufikia level ya kuwa independent.
Wengi ukiwakuta ujue wamefikishwa na Hawa wazee wa mjini ambao wengi wana grid ya taifa.
Usiingie kichwa kichwa kwa hawa wadada wanajifanya wako independent.!!
 

Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,451
Top