Its not a miracle case, waathirika waliokwenye matumiz mazuri ya arvs (nasisitiza matumiz mazuri) huwa hawaambukizi maana akiweza kumaintain concentration ya dawa mwilin kwa kuzingatia kumeza dawa kwa wakat idadi ya virus kwny damu yake inashuka to almost zero (less than detectable level) kwa hali hii hawez ambukiza kirahis...
Ndio maana siku hz kuna couples kadhaa mmoja ni muathirika na mwingne sio muathirika lkn na wanapata mtoto asiye na maambukiz (hii inamaanisha wanasex bila condoms lkn hawaambukizan)
Na maisha yanaendelea kama kawa...
Nadhan broo angepata mshauri mzuri asingeachana na huyo bibie bali wangepewa ushauri namna ya kuish bila kuambukizana...
Ukimwi unasambazwa na waathirika wasiojijua kama wameathirika hvyo hawatumii dawa kabisa na ambao hawazingatii dawa...
Sent using
Jamii Forums mobile app