Yaliyomsibu kaka yangu

Kaka yako nae hajaukwaa kweli??

Au walikua hawa do?? mie sijaelewa hii story dada Sky???

kama walikua hawaja do,then kaka yako ni mfano wa kuigwa ;);), wanaume wa JF wajifunze sio mnakutana na mdada Vuuuup Kesho yake mna….??
Walikuwa wana do na si unajua excitements kaka labda alikuwa anasafiri kwenye salt sea. Ila dada alikuwa kwenye dose ya milele.
 
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.


Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja.
Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Da Jane alimtaja mhusika, leo zamu yako kumtaja wa kike utuokoe wana JF wenzako!.
Tuokoe wauza mechi!!..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom