Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,880
- 183,193
Mie ya kwanza niliyakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa najiuliza kama siku ile nilipo kuwa nasubiria majibu yangu ya damu mapigo yangu ya moyo yalikuwa vile je ningeambiwa ninao nahisi hata mwenzi mmoja nisingefika ningekufa kwa mawazo kabla ugonjwa hujaanza kunishambulia.
Ya pili ndio nikajikaza. Wee alafu ndio nijue mtu anao alafu niendelee kubaki[emoji134]