Yaliyomsibu kaka yangu

Mkuu jaribu kuvaa Viatu vya huyo jamaa je wew ungeweza unajua kabisa bibie kaungua ni zaidi ya kuvaa bomu
Hakuna anaeweza kwa urahis... hii ishu inahitaji deep counseling ndio maana nakasema angepata washauri wazuri wangemshauri kama walivyoshauriwa wengine na wakaweza kuishi hyo hali sio kitu kirahisi lkn kinafanyika na watu wanafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio.
Huwa najiuliza kama siku ile nilipo kuwa nasubiria majibu yangu ya damu mapigo yangu ya moyo yalikuwa vile je ningeambiwa ninao nahisi hata mwenzi mmoja nisingefika ningekufa kwa mawazo kabla ugonjwa hujaanza kunishambulia.
 
Hakuna formular angeweza kuachwa pia kwa kusema kabla. Kama hujaelimika kuhusu HIV isikie tu kwa watu.
1 -Wagonjwa wa ngoma wana dalili nyingi sana mwambie kaka yako awekeze kwenye kujifunza dalili inasaidia sana.
2-Siku ya kwanza hata kama anapiga yango na ya ngo azingatie maandalizi kupunguza risk
3-Kama anaona anataka kukaa kwa demu permanently mwambie ampige kitu ili ampime.
4-Pia apunguze denda (oral sex) kuepuka kansa isiyopona
 
Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.


Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".

Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.

Jellybean nina ngoma.
 
Kupima ni rahisi
Kwani huyu walishindwa nini kupima? Hadi wafahamiane na wabanduane walishindwa nini kupimana?
Kama sio mpimaji basi ajiandae tu hata hao wa kazini watamkamata tu.

Hapa tatizo sio wa mtandaoni bali ni huyo kaka yako, seems hana mazoea ya kupima kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya. Hivyo hilo liwe funzo. Lakini pia akumbuke anayetumia dawa vipimo vitaonyesha -ve
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom