Tunaenda na Lissu!Spana zimekubali mpaka vyuma vinasuguana!
Mpaka kampeni zinaisha mtavaa boxer kichwani!
Wakutuchanganya sio huyu Mwenye uchu wa Madaraka anaetumika na Mabeberu
Tunaenda na Lissu!Spana zimekubali mpaka vyuma vinasuguana!
Mpaka kampeni zinaisha mtavaa boxer kichwani!
zitto akili nyingi kina kirefuMimi siyo mfuasi wa Zitto ila kwa Kigoma mjini hakuna wa kumuondoa. Nasisitiza tena hakuna wa kumuondoa!
Hizo propaganda mfu zilishafeli,Lissu anazidi kuungwa mkono na watanzania wengi na kwa mapenzi yao wenyewe!Wakutuchanganya sio huyu Mwenye uchu wa Madaraka anaetumika na Mabeberu
Tatizo liko wapi?Fiesta Ipo Kigoma.
Tatizo liko wapi?
Dr. Bashiru alisema kama waona donge si nanyi mtumie...CCMFIESTA leo nani na nani wanatumbuiza?
Ameishaondoka kitambo!Mimi siyo mfuasi wa Zitto ila kwa Kigoma mjini hakuna wa kumuondoa. Nasisitiza tena hakuna wa kumuondoa!
Magufuli anafoka foka tu Hana mvuto wala haiba Ya kuwa rais na anajua kuwa hapati kurajamaa hana jipya kabisa yaani,hana mvuto kabisaaaa