Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Tusimwamini sana huyu jaji, maana mahakama ni genge la Ccm. Tutaona jaji ana fuata kanuni, kumbe hukumu ina andikiwa Ikulu. Tusishangae maana kura tuna piga sisi lakini washindi huamuliwa na tume.
Nakuelewa sana!Toa ushauri wowote tuko tayari kufuata
 
Mkuu kwa nguruwe babaako angepewa mateso kama haya akiwa uchi wa nyama na kupigwa marungu kwenye makalio nyayo na kuchomwa kwa bisi bisi makalioni usingeandika ujinga kama huu.
Mkuu achana nao hao...ni mabeberu ndani ya nchi yetu kisa madaraka..ni mabata tu kama mabata wengine!!

Tutaipigania Tanzania 🇹🇿 yetu for the better of our son's & daughters!! Ni lazima tutimize wajibu wetu ..na ni sasa.
 
Mkuu hawa watu waliokosa UTU na HURUMA kwa binadamu wenzao wanaudhi na kushangaza sana kuunga mkono unyama wa kutisha unaoendelea nchini.

Mkuu achana nao hao...ni mabeberu ndani ya nchi yetu kisa madaraka..ni mabata tu kama mabata wengine!!

Tutaipigania Tanzania 🇹🇿 yetu for the better of our son's & daughters!! Ni lazima tutimize wajibu wetu ..na ni sasa.
 
kwahiyo aachwe mtaani andelee kuumiza raia wasiokua na hatia et kwa kua upelezi haujakamilika
Tungejibizana kama ungekua unaelewa sheria ila wacha tusiingie huko mkuu

Everyone is innocent until proven guilty
 
Siamini kama Kingai alikwapua 260k za Adamo hlf akadai kawanunulia nyama choma na Mo energy.

Hawa jamaa wana laana
 
Mashahidi wamegeuzwa kuwa wahalifu mbele ya mahakama. Kweli Kibatala ni Pilato a.k.a Mkaanga Sumu.

Nasubiri siku HAIJIPII Zerro anasimama kizimbani kutoa ushahidi, atakachofanywa na Kibatala siku hio ataimba wimbo wa PGA usio na kiitikio.
Kuna Kitu linaitwa Jumanne ni Jambazi kabisa, sijui aliingiaje jeshi la polisi.
Lipo pale usa River ni Oc cid, ana nguvu kupita OCD, halipendwi na askari wote
 
Tunasikia vikao vya "kamati maalumu ya kutengeneza kesi za ugaidi na uhujumu uchumi" dhidi ya wapinzani na wakosoaji wa serikali chini ya mapolisi kina ACP Kingai, ACP Kamillius Wambura na Hamduni huku IGP Sirro akipokea updates vinaketi karibu mara mbili kila siku ili kufikiria namna ya kujichomoa salama ktk kesi bila kuleta aibu kubwa ...!!
 
Na ushahidi huo wakiuleta kuwa aliondolewa kwa ajili ya nidhamu, itakuwa objected maana Kama hamkumpa barua, tutaaminije hicho mnachokileta... beyond reasonable doubt. Kwanini yeye hana certificate ya matibabu Lugalo kuwa alikuwa anatibiwa Nini?
Sisi tusio "wajeda" tunaweza tusijue sana taratibu zao za matibabu...

Ila tusubiri nini kitatokea...

Na kwa namna mambo yanavyokwenda ktk utoaji wa maelezo yao walivyotendewa, ni wazi kuwa hawa jamaa waliteswa sana ili kukubaliana na watengeneza kesi hii...
 
Back
Top Bottom