Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Kwa wale ambao hamjui shahidi alivyosema "killing zone" ndiyo hii - mateso yake ni ya namna hiii - ukivumilia dakika 30 we ni kidume kweli kweli.. Nafikiri kati yao Adamoo atakuwa kapitia mateso makali mno.

FAEtVWGUYAoEc2Z.jpg
Yaan mtu anifunge hivi alafu ndo nakutana nae mtaani ni bora tu nife nae

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kesi ya wenye vyeo, mashahidi wa dola wanamanyota tu, na wakuu wa vitengo, kuwa mkubwa sana halafu mpanga njama na kuwa shahidi, mtesi naona kama hajakaa sawa!
 
Yaan mtu anifunge hivi alafu ndo nakutana nae mtaani ni bora tu nife nae

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
ha ha ha Kingai na Jumanne si watu wa kawaida mkuu - huwezi kuwafanya kitu wanalindwa na Jamhuri yaani unaishia kuuma meno tu
akili nyingi sana imetumika kujibu ilo swali aisee...
ivi makomandoo hua wanafundishwa maswala ya sheria..?
wengi hawakujua - jamaa yupo fiti sana - kapiga techinical question kama mbili hivi akaniacha hoi.
 
Kesi ya wenye vyeo, mashahidi wa dola wanamanyota tu, na wakuu wa vitengo, kuwa mkubwa sana halafu mpanga njama na kuwa shahidi, mtesi naona kama hajakaa sawa!
tunamsubiri kwa hamu Mkuu wa PGO siku hiyo siendi job kama kazi wanifukuze ili nije mahakamani nishuhudie live.
 
ha ha ha Kingai na Jumanne si watu wa kawaida mkuu - huwezi kuwafanya kitu wanalindwa na Jamhuri yaani unaishia kuuma meno tu

wengi hawakujua - jamaa yupo fiti sana - kapiga techinical question kama mbili hivi akaniacha hoi.
Liberatus Barrow RPC wa Mwanza wa kipindi kile alikuwa halindwi na Jamhuri?
 
Mabeyo kawaacha wanajeshi wake wanateswa kizembezembe na Polisi.Bila Shaka Luteni Urio alikuwa Bado yupo kazini.
 
Jamaa wanamtengenezea inshu nyingine alikuwa anatumia madawa ya kulevya hko, hawakawii kumpeleka kwa mkemia mkuu wa serikali wapate positive findings, maana wanadai eti hakua na battle confusion ila nadawa ya kulevya!
Serikali inalidharirisha jeshi la wananchi
 
Sipati picha akina Ben saa 8 kabla hawaja leave this world yamkini walipitia torture ya namna hii so may be labda hawakuimili vishindo vyake ndio wakakata kauli na wasiojulikana wakawatupa baharini we never know.
 
Hiyo mahita achunguzwe vizuri pengine ndiyo alikuwa akiumiza wengi kipindi cha mtukufu magufuli
 
Back
Top Bottom