Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,552
- 12,422
Usikute we ni ungaSawa mke wangu .
Usikute we ni ungaSawa mke wangu .
Hii kesi imedhihirisha kuwa CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.Kumbe kulikuwa na mambo mengi yanaendelea sisi hatujui,sikujua kama kuna watu wamepitia mateso ya kutisha kama haya kabla ya huu ushaidi
Ufunguo wa kuwajua wasio juri kananKingai, Jumanne, Minja, Azizi na Mahita inaonekana walikuwa na kibali kutoka jumba jeupe. Shoo zote za kibabe wanasimamia wao mikoa yote tanzania nzima. Hawa sio watu wadogo.
Ukiwa RPC nakustaafu ruksa kuwa Mwenyekiti wa CCM Nahuwezi pewa kesi ya ugaidi.Kumbe kulikuwa na mambo mengi yanaendelea sisi hatujui,sikujua kama kuna watu wamepitia mateso ya kutisha kama haya kabla ya huu ushaidi
Aaaa okay!Hii ni kesi ndogo.
Ndio huyu kuna wakati Sirro alikuwa anamlalamikia anamfanyia majung na fitina ili achukuwe nafasi yake ya uIGP?Hivi kwa mchoro huu huyu hapa bado anasubiri kuja kupewa u IGP ?
Ogopa sana mtu anaye taja taja jina la Mungu mara kwa mara. Refer Magufuli, Idi Amin Dada na Samuel Doe.Kwa nini unapenda kumtaja Mungu sana?
Jamaa anaonekana ana roho ya kikatili sanaHivi kwa mchoro huu huyu hapa bado anasubiri kuja kupewa u IGP ?
Huyu Lembrus huyu.Mchome kachoma mchongo!
Ndio huyu kuna wakati Sirro alikuwa anamlalamikia anamfanyia majung na fitina ili achukuwe nafasi yake ya uIGP?
Uvccm kindakindaki huyooJamaa anaonekana ana roho ya kikatili sana
Hawa badala ya kuelekeza manati kwa adui wanaielekeza usoni kwao!Huyu MCHOME ameyavuta manati!!!!!!!. Jamaa jasiri sana.
Semenyaaaa. Griingoo wa ukaldayoYou wish you could be IGP?
Hatari ninayoina hapa ni kuzalishwa kwa uhasama au uhasama kizidi mara dufu zaidi baina ya;Dickson Matata: Kabla ya hapo Ulikuwa wapi
Shahidi: Askari Wa Kikosi cha Special Force Kilichopo Mkoani Morogoro
Dickson Matata: Morogoro ni Kubwa ni Wapi
Shahidi: Ni Sangasanga, Wengi wamezoea Kuita Ngerengere
Dickson Matata: Kikosi Kinaitwaje?
Shahidi: 92 Special Force battalion
Dickson Matata: kazi ya inakuwa nini
Shahidi: Askari Ambaye yupo tayari Kwa Muda wowote Kuitwa a kwenye Mapigano
Matata: Tutajie Kazi zenu
Shahidi: Ikitokea Upo Kwenye Ndege unakuwa Paratroopers, Unashuka Kutoka Kwenye Ndege kwa kuruka Kuja Ardhini Kutekeleza Majukumu Mbalimbali
Matata: Kazi Nyingine
Shahidi: Majukumu Mbalimbali kama Vile Operesheni mbalimbali nchi za Nje kama Sudan na Congo
Matata: We Ushawahi kwenda wapi
Shahidi: Nishawahi Kwemda Sudan
Matata: Ulikwenda Mwaka gani
Shahidi: 2014
unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokeaHatari ninayoina hapa ni kuzalishwa kwa uhasama au uhasama kizidi mara dufu zaidi baina ya;
1. Polisi na JWTZ kwa sababu kuacha kazi jeshi haina maana waliokuwa wanajeshi wa jeshi hilo kuonewa, wanajeshi wa JWTZ watataka kuwela hii sawa ila uwekeji wao sawa hautakuwa wa amani.
2. JWTZ na Watawala kwa sababu wao ndio wanaonekana kulea huu uonezi kwa maslahi yao binafsi na si ya taifa kwa upana wake.
3. Baina ya Wanajeshi wa JWTZ na viongozi wao kwa sababu inweka wazi uonezi ambao wenzao wanapata na ambao unaweza kumkuta yyt baina yao.
Na hata sura kama ya akina Paul Kagame (PaKa)Jamaa anaonekana ana roho ya kikatili sana
Katesa wengiJamaa anaonekana ana roho ya kikatili sana