Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Kumbe kulikuwa na mambo mengi yanaendelea sisi hatujui,sikujua kama kuna watu wamepitia mateso ya kutisha kama haya kabla ya huu ushaidi
Ukiwa RPC nakustaafu ruksa kuwa Mwenyekiti wa CCM Nahuwezi pewa kesi ya ugaidi.
Ukiachishwa kazi/Kufukuzwa na ukawa upande wa siasa za Chadema autimatically wewe ni GAIDI,HAINI nk
Chukueni tahadhari.
 
Hivi kwa mchoro huu huyu hapa bado anasubiri kuja kupewa u IGP ?
Unknown-2-9.jpeg
Ndio huyu kuna wakati Sirro alikuwa anamlalamikia anamfanyia majung na fitina ili achukuwe nafasi yake ya uIGP?
 
Dickson Matata: Kabla ya hapo Ulikuwa wapi

Shahidi: Askari Wa Kikosi cha Special Force Kilichopo Mkoani Morogoro

Dickson Matata: Morogoro ni Kubwa ni Wapi

Shahidi: Ni Sangasanga, Wengi wamezoea Kuita Ngerengere

Dickson Matata: Kikosi Kinaitwaje?

Shahidi: 92 Special Force battalion

Dickson Matata: kazi ya inakuwa nini

Shahidi: Askari Ambaye yupo tayari Kwa Muda wowote Kuitwa a kwenye Mapigano

Matata: Tutajie Kazi zenu

Shahidi: Ikitokea Upo Kwenye Ndege unakuwa Paratroopers, Unashuka Kutoka Kwenye Ndege kwa kuruka Kuja Ardhini Kutekeleza Majukumu Mbalimbali

Matata: Kazi Nyingine

Shahidi: Majukumu Mbalimbali kama Vile Operesheni mbalimbali nchi za Nje kama Sudan na Congo

Matata: We Ushawahi kwenda wapi

Shahidi: Nishawahi Kwemda Sudan

Matata: Ulikwenda Mwaka gani

Shahidi: 2014
Hatari ninayoina hapa ni kuzalishwa kwa uhasama au uhasama kizidi mara dufu zaidi baina ya;

1. Polisi na JWTZ kwa sababu kuacha kazi jeshi haina maana waliokuwa wanajeshi wa jeshi hilo kuonewa, wanajeshi wa JWTZ watataka kuweka hii sawa ila uwekeji wao sawa hautakuwa wa amani.

2. JWTZ na Watawala kwa sababu wao ndio wanaonekana kulea huu uonezi kwa maslahi yao binafsi na si ya taifa kwa upana wake.

3. Baina ya Wanajeshi wa JWTZ na viongozi wao kwa sababu inaweka wazi uonezi ambao wenzao wanapata na ambao unaweza kumkuta yyt baina yao.
 
Hatari ninayoina hapa ni kuzalishwa kwa uhasama au uhasama kizidi mara dufu zaidi baina ya;

1. Polisi na JWTZ kwa sababu kuacha kazi jeshi haina maana waliokuwa wanajeshi wa jeshi hilo kuonewa, wanajeshi wa JWTZ watataka kuwela hii sawa ila uwekeji wao sawa hautakuwa wa amani.

2. JWTZ na Watawala kwa sababu wao ndio wanaonekana kulea huu uonezi kwa maslahi yao binafsi na si ya taifa kwa upana wake.

3. Baina ya Wanajeshi wa JWTZ na viongozi wao kwa sababu inweka wazi uonezi ambao wenzao wanapata na ambao unaweza kumkuta yyt baina yao.
unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
 
Back
Top Bottom