Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
hay ndo.mambo mengine
Mkuu twa masiku!Nipo hapa Mbeya, kada wa chama tawala. Hata hivyo pita pita ya ngu mitaani hadi kule Rungwe nimejionea mwenyewe hali ilivyo tete kwa CCM.
Ni kama CHADEMA wao wamejitayarisha vizuri, na wapo kila mahala. Huu si oungo ,maana wameteka vijana wengi na bendera hasa Ile pana ziko kila mahala.
Jana niliona magari kadhaa ya matangazo na uhamasishaji ya CHADEMA, lakini sikubahatika kuona hata moja la CCM.
Nimefika Kiwira ndo balaa! Mchana vijana walifunga barabara kwa mdundiko uliokuwa ukiongozwa na gari ya matangazo ya CDM!
CCM najionea huruma lakini tusubiri tu.
Mwanza mtaa wa kiseke Mgombea wa Chadema ameshinda kwa kura 147
Mwandosya akisako ku kampeni?Nakunywa viroba nikichelea matokeo, hali si nzuri chama changu.
Na tetesi ninazozipata hata viongozi chamani hawako vizuri.
Mgombea wa nini?! Funguka
viva ukawa. Viva chadema morogoro kata ya kilakala chadema tumeshinda mitaa 3
UPDATES MATOKEO MAENEO MBALIMBALI,
Mtaa wa Msewe, Ubungo
CCM 356,
CHADEMA 683
Mtaa wa Mjini, Karatu
CCM 109
CHADEMA 281
Mtaa wa TFA, Karatu
CCM 179
CHADEMA 358.
Mwenye matokeo zaidi aweke hapa.!!
CHANGE ni mimi, ni wewe, ni sisi.. TUNAWEZA!
Mwana mjaa laana wewe!Mtaa wa Lake Tanganyika katika kituo cha Jihad manispaa ya Kigoma Ujiji Chadema wakutwa wakigawa rushwa ya 5000 5000 kwa wapiga kura ili waichague CCM na waikatee ACT-TANZANIA inasikitisha sana ukawa hii mpya kuibukia Kigoma