MATOKEO MPAKA SASA TULIPOSHINDA:
Tarime mtaa wa bugosi,
Moshi manispaa-Lunguo A
Mbozi mtaa Mbugani na Masaki,
Kigoma mjini-mtaa Gezaulole,
Ukonga mtaa Majohe
Karatu-mtaa mazingira bora na mtaa maliasili,mtaa wa manyara
Ubungo mtaa mbezi yusuph,
Mwanga-mtaa mlahang'a,
Ilemela-mtaa Pasiansi
Tarime mtaa Regoryo na mtaa bugosi,
Segerea mtaa Migombani
Mwanga kitongoji mgagao,
Rorya mtaa ngasaro,
Arumeru Mashariki mtaa Manyata
Musoma muhoji kijiji,
Ubungo mtaa msewe,
Kinondoni mwenge nzasa,
Monduli;mto wa mbu
Tarime kitongoji forodhani boda,kijiji forodhani,
Segerea mtaa bonyokwa na mtaa msigwa
Msigani mtaa malamba mawili
source:john mnyika fb page