Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Tatizo watu wanaleta kujuanaa....wanaona aibuu. FFU in da house...ngoja nirudi nyumbani mie...Nailah wangu asije kosa mama buree.....
Safi sana , na sisi huku kwetu tumeigaragaza ccm vibaya mno.Kimara kitongoji cha kilungule na kimara baruti
CDM imeshinda.....
Hapa ndo nilipopiga kura mimi...
Ukawa oyeeee
Safi sana , na sisi huku kwetu tumeigaragaza ccm vibaya mno.
unaongelea kiseke b au a maana najua kiseke a umehairishwaMwanza mtaa wa kiseke Mgombea wa Chadema ameshinda kwa kura 147
Wapi huko mkuu
Mtaa wa Sweya Mwanza
Cdm 307
Ccm 149(amefariki muda mfupi kabla ya matokeo)
Dah haki yako imeporwa hivi hivi.
CCM inaongoza Tanzania nzima!
hebu nijulishe ni kiseke A au B maana najua kiseke A uchaguzi umehairishwaMwanza mtaa wa kiseke Mgombea wa Chadema ameshinda kwa kura 147
HongeraKimara kitongoji cha kilungule na kimara baruti
CDM imeshinda.....
Hapa ndo nilipopiga kura mimi...
Ukawa oyeeee
mungu wangu kisholonga kapigwa chini siaminMwanza Kiseke B
Mwenyekiti
Cdm 414
Ccm339
wewe nawe kwanini kuandika kama std. 7?