Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

-Matokeo wilaya ya NACHINGWEA.
Kitongoji cha raha leo, CCM kura 60 na Chadema 59.
Kitongoji cha amani CCM kura 35 na CDM 9.
-Matokeo ya Uchaguzi:
KIJIJI CHA MNYUNE CCM 207 na CDM 20.
na
Monduli magharibi CDM 76, CCM 199.
-Matokeo ya Uchaguzi Arusha:
Monduli mjini mashariki CDM 57, CCM 88 na Mtaa wa Sabasaba CDM 84, CCM 172.
-Matokeo ya Uchaguzi Arusha:
Monduli mjini mashariki CDM 57, CCM 88 na Mtaa wa Sabasaba CDM 84, CCM 172.
-Matokeo ya Uchaguzi:
Kitongoji cha Mandela kata ya Mkalama CCM imeshinda kwa kura 240 na cdm 196.
-Matokeo ya Uchaguzi: Kitongoji cha kichangani kata ya gairo mjini ccm 260 na cdm 115 zilozoharibika 2.
 
Uchaguzi hadi wiki ijayo....tulikazajeee RAIA...CCM walichakachua hatariiii...

Shukrani za dhati zikufikie mtendaji uliyetuzuia kupiga kura popote ulipo...manake Leo tulikuwa tumezidiwaaa.....walileta mamluki hatariiiii.....

Wiki ijayo muwahi mapema mamluki wasipate nafasi.
Huku sisi ccm tumewagaragaza vibaya.
 
Mpaka muda huu saa nne usiku kata ya Nzowe wananchi wanaendelea kupiga kura! Upigaji wa kura umeanza mnamo saa tatu asubuhi na bado unaendelea mpaka saa nne kasoro usiku huu.
attachment.php

Pichani ni wananchi wakihakiki uwepo wa majina yao masaa kadhaa yaliyopita.
 

Attachments

  • kura1.jpg
    kura1.jpg
    21.7 KB · Views: 20,538
tembomgwaza tabata kisukulu ndio kumewaka now full mabomu kwa kwenda mbele
 
Mwanza, wilaya ya ilelemela, kata ya Nundu" b" mpaka sasa hawajatangaza, na wananchi tumekomaa hadi kieleweke
 
Shinyanga declared a nearly CCM free zone ISAKA DRY PORT CDM IMESHINDA MAJENGO (MWKT MPYA)BW MWANTUGE + Vitongoji vyake IGOMELO KHM MJINI CDM 301 CCM 101 matokeo yanaendelea.... Habari kutoka IR KW MSIGWA CDM imechukuwa kata ya MTWIVIRA A-B, KIHESA KILOLO, SEMTEMA A-B, RUAHA, FRELIMO, to be continue.....
 
Mwanza, wilaya ya ilelemela, kata ya Nundu" b" mpaka sasa hawajatangaza, na wananchi tumekomaa hadi kieleweke

Kuchelewa kutangaza matokeo ndiko kunakoleta vurugu zisizo na msingi. Kitanuka sasa hivi.
Ova
 
mtaam moja haina zaidi ya 2000 wakazi kwa....wapiga kura 400huwezi kuwahesabu?.....ukenge

Wanataka kuiba kura tu hawana lolote. Hata sijui kwanini MaCCM yanaona hii nchi kama yao peke yao.
Ova
 
Hatimae baada ya miaka 53 chadema yashinda uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Nundu "b".
 
Wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza ACT tumeshinda kijiji kimoja kwa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,Kijiji cha Mayega Mwenyejiti ni wa ACT anaitwa Ali Kidosha.Wilaya ya Magu ACT tumesimamisha vijiji vinne tu na viwili uchaguzi umeahirishwa na tumeshindwa kijiji kimoja.
 
hivi ndugu huamini CCM inaweza kuanguka? Rais Mkapa aliacha misingi mizuri sana ya uchumi wa nchi. Professor Kikwete ameivunja yote. Leo hii tunavyoongea shilingi ya tanzania imeporomoka Kwa mujibu wa tovuti ya Benki kuu ya Tanzania dola moja ni shilingi 1718. Hii ni mbaya sana kwa uchumi wa nchi. Ufisadi unaofumbiwa macho umesababisha wahisani kuzuia dola 449 million na majuzi tu Serikali ya marekani imetangaza ku freeze msaada wa MCC takribani dola million 700....Professor kikwete alijipambanua sana kutegemea wahisani badala ya kujenga misingi ya kujitegemea kwenye bajeti. Leo hii ni vigumu kwa serikali kufanya matumizi ya kila siku...inalazimika kutumia ubabe kukopa kwenye mabenki ya ndani ili kulipa mishahara na matumizi mengine. Haya yote yanatokana na misingi mibovu na utawala mbovu wa Professor Kikwete. Kuna siku aliwahi kwenda kufanyiwa check up New York halaf siku anarudi wasaidizi waka wakamshauri aende kutembelea wagonjwa muhimbili. Haya yote wananchi wanayaona na kwa kuwa technolojia ya habari imekua watu hawadanganyiki tena! David kafulia aliinuka bungeni na kusema serikali ya marekani imesitisha msaada, waziri wa fedha bila chembe ya aibu anainuka na hijabu yake kusema si kweli...leo hii balozi wa marekani anathibitisha...Katibu mkuu kiongozi anasema ni jambo la kawaida duniani kote......hakika Professor Kikwete ameiharibu kabisa nchi hii.......

Ukiondoa ile neno hijabu itakuwa vema. .......Tatizo una macho lakini hutaki kuona na siwezi kukulazimisha na mbaya zaidi unayemdhania wewe kuwa ndo nafuu kwa bahati mbaya ndo hatari so better zimwi tulijualo
 
Katika uchaguzi wa serikali za Mitaa unaofanyika leo Jumapili, tarehe 14/12/2014 kuna dosari/mapungufu mengi yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Ubungo. Dosari hizi ni za makusudi kabisa.

Mpaka sasa dosari zimeonekana katika maeneo yafuatayo;


[TABLE="class: MsoTableGrid, width: 553"]
[TR]
[TD="width: 42"] Na.[/TD]
[TD="width: 96"] KATA[/TD]
[TD="width: 120"] Mtaa[/TD]
[TD="width: 480"] Mapungufu/Dosari[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 1[/TD]
[TD="width: 96"] KIBAMBA[/TD]
[TD="width: 120"] Kiluvya[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Gogoni[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Kibamba[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna Wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 2[/TD]
[TD="width: 96"] KWEMBE[/TD]
[TD="width: 120"] Mji Mpya[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna Wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Kwembe[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna Wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 3[/TD]
[TD="width: 96"] MBEZI[/TD]
[TD="width: 120"] Msumi[/TD]
[TD="width: 480"] · Vifaa vya uchaguzi vilichelewa mpaka saa 4:30 asubuhi · Mpigakura amekamatwa na karatasi ya kupigia kura akielekea kituoni kupiga kura[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Mshikamano[/TD]
[TD="width: 480"] · Vifaa vya uchaguzi vilichelewa mpaka saa 3:30 asubuhi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Luis[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna wino · Hiace ya mjumbe wa CCM inawabeba wapiga kura. Hiace hii inaendeshwa na dereva anayeitwa Salum ambaye ni kada wa CCM.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 4[/TD]
[TD="width: 96"] GOBA[/TD]
[TD="width: 120"] Kunguru[/TD]
[TD="width: 480"] · Wajumbe wa CHADEMA waliwekewa nembo ya CCM · Wajumbe wa CHADEMA-Viti maalum waliwekewa nembo ya CUF · Karatasi za kupigia kura zilichapwa upya na zoezi la uchaguzi lilianza saa 6:00 mchana [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Goba[/TD]
[TD="width: 480"] · Mwenyekiti wa UKAWA kupitia CUF, jina lake lilikosewa, wakaamua kuandika kwa mkono na zoezi la uchaguzi likaendelea.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 5[/TD]
[TD="width: 96"] SARANGA[/TD]
[TD="width: 120"] Ukombozi[/TD]
[TD="width: 480"] · Uchaguzi ulianza saa 3:30 asubuhi badala ya saa 2:00 asubuhi kama ilivyopangwa kwa sababu CCM walifanya vurugu walikuwa wanamzuia mgombea wa CUF asipige kura.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Matangini[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna wino · Uchaguzi ulianza saa 3 asubuhi · Kura zinapigwa katika ofisi ya MEO ambayo ni ndogo sana ulinganisha na wapiga kura 3169. · MEO alikataa kufanya uchaguzi katika majengo ya Shule ya Msingi ya Matangini ambayo yana nafasi ya kutosha. · Wapiga kura wanapata tabu kuhakiki majina yao katika mbao za matangazo kwa sababu eneo ni finyu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 6[/TD]
[TD="width: 96"] KIMARA[/TD]
[TD="width: 120"] Kimara-Baruti[/TD]
[TD="width: 480"] · MEO amewaambia wapigakura wamchague mjumbe mmoja tu badala ya watatu · Wino ulifika saa 5 asubuhi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Golani[/TD]
[TD="width: 480"] · Majina ya wapigakura yaliopo ukutani yamepauka kwa hiyo wapigakura wanashindwa kuhakiki majina yao[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Mavurunza[/TD]
[TD="width: 480"] · Hapakuwa na wino mwanzoni, baadae na Mgombea wa CHADEMA aliamua kununua wino mwenyewe. · Askari/Polisi walikuwa wanawapigia kura wapigakura katika Kituo cha Millenium baada ya kushutukiwa na Mgombea wa CHADEMA waliamua kumkimbiza ili wamkamate kwa kisingizio kwamba anafanya vurugu katika kituo cha kupigia kura.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 7[/TD]
[TD="width: 96"] UBUNGO[/TD]
[TD="width: 120"] NHC[/TD]
[TD="width: 480"] · Kulikuwa na vurugu asubuhi wakati mamluki alipokamatwa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Chuo Kikuu[/TD]
[TD="width: 480"] · Mpigakura aliyejiandikisha katika vituo viwili tofauti alikamatwa · Kulikuwa na mtu anayegawa fedha ala baadae alitokomea kusikojulikana[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Kisiwani[/TD]
[TD="width: 480"] · Mpigakura alikuta jina lake limeshapigiwa kura na mtu mwingine.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Kibo[/TD]
[TD="width: 480"] · Hakuna wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 8[/TD]
[TD="width: 96"] MAKUBURI[/TD]
[TD="width: 120"] Mwongozo[/TD]
[TD="width: 480"] · Jina la mgombea Uenyekiti wa CHADEMA limekosewa · Kuna mazingira ya vurugu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 120"] Makuburi-Kibangu[/TD]
[TD="width: 480"] · CCM walifanya vurugu asbuhi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 9[/TD]
[TD="width: 96"] MSIGANI[/TD]
[TD="width: 120"] Kwa Yusufu[/TD]
[TD="width: 480"] · Kuna kundi la CCM limeandaliwa kuharibu uchaguzi · Hakuna wino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 10[/TD]
[TD="width: 96"] MABIBO[/TD]
[TD="width: 120"] Mabibo[/TD]
[TD="width: 480"] · Uchaguzi umeahirishwa kwa sababu karatasi za kupigia kura ziliandikwa mtaa wa Kanuni badala ya Mabibo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 11[/TD]
[TD="width: 96"] MAKURUMLA[/TD]
[TD="width: 120"] Kilimahewa[/TD]
[TD="width: 480"] · CCM wamefanya vurugu na kumpiga mgombea wa CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 42"] 12[/TD]
[TD="width: 96"] SINZA[/TD]
[TD="width: 120"] A,B,C na D[/TD]
[TD="width: 480"] · Wino uliletwa saa 6 mchana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Back
Top Bottom