TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
Vijana wakigombea buku mbili mbili za mgombea wa ccm kawe
Habari ya mjini
Vijana wakigombea buku mbili mbili za mgombea wa ccm kawe
Wakuu, leo, Disemba 14, 2014 Watanzania wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa, Tanzania Bara (Tanganyika).
Viongozi wanaochaguliwa leo ni katika nafasi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Wenyeviti wa Vitongoji, Wajumbe 6 wa Serikali ya Mtaa (Halmashauri) na wajumbe wa Viti Maalum wa Mtaa/Kijiji.
Kama ilivyo ada JamiiForums itakuwa ikikujuza yanayojiri, katika uzi huu utapata/utaleta updates zinazohusiana na uchaguzi huu.
Karibuni sana
========
UPDATES MUHIMU:
![]()
![]()
Hapa ni Mtaa wa Kijitonyama
- Eneo la Shariff Shamba, Ilala jijini Dar uchaguzi umeahirishwa mpaka Jumapili ijayo baada ya vifaa kutopatikana ndani ya muda. Vyama vyote vinavyoshiriki vimeafikiana
- Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Darajani huko Liwale, M. Manakwa amepigwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo, amelazwa hospitali
-Mkuu wa Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Suleiman Liwowa ametangaza kuwa katika vitongoji 613 vya Wilaya hiyo vyama vya Upinzani vimeshindwa kusimamisha wagombea.
Leo uchaguzi wa serikali za mitaa slaa yupo karatu na mbowe yupo ujerumani wote hao hawapigi kura alafu wana taka chadema ishinde kila siku mtabaki na ngonjera kuwa ccm imewaibia kura
Mbona KIKWETE na yeye hapigi kura hilo haulizungumzii? kwani wakati uandikishaji unafanyika alikuwa kwenye TEZI DUME
Ccm sina hamu na KU KUM**MAMA*YO ZAO.
Mkuu kwenye post zako za kuku nakufuatilia sana. Nimeleta kuchi 20 na wote wako vizuri. Napenda pia harakati zako za ukombozi. Safi Sana kamanda