Mtaani kwetu Kiseke PPF Mwanza nimeshawafuta CCM mim na jiranizangu wote tupatao 18! Vijana niwengi kweli kwenye foleni. RIP ccm
nimefrai kusikia majirani wangu wote chadema sijajua nera pakoje au pale ghana? one day itakuwa ndiyo
Mtaani kwetu Kiseke PPF Mwanza nimeshawafuta CCM mim na jiranizangu wote tupatao 18! Vijana niwengi kweli kwenye foleni. RIP ccm
Huku nyakato mtaa wa nundu mwanza shida has a, msjina yalishachanwa foleni hazitembei
Kero nyingi sana
Kigamboni mtaa wa Ferry uchaguzi umeingia dosari baada ya mjumbe mmoja wa UKAWA kupitia CUF jina lake kuonekana kwenye karatasi ya kupigia kura wakati alikuwa amekwisha jitoa
Hapa hali ni tete CCM wanalazimisha uchaguzi ufanyike hivo hivo wakati UKAWA wakipinga kitendo hicho hali iliyomlazimu msimamizi wa kituo kuingilia na kutoa maelekezo kuwa hilo jina limewekwa kimakosa na amewaelekeza wapiga kura wasilipigie kura.....
Ccm wanadai hiyo itakuwa karata yao ya mwisho kutumika kupinga matokeo mahakaman kwani hali yao ni mbaya sana huku kigamboni kwa mitaa yotee.....