niko kwenye mstari nasubiri kupiga kura yangu kumchagua mwenyekiti wa mtaa jua ni kali sana na foleni ni ndefu na nisogea pole pole sana liwake ama inyeshe nitabaki hapa hadi kieleweke kura ni siri lakini kura yangu, ya mke wangu,pamoja na shemeji yangu na dada wa kazi kura zetu sio siri,kura zetu ni kwa UKAWA MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI UKAWA
"UKAWA TUMAINI LETU"
Kata za Nyansurura, Machochwe, Nyamoko, Rung'abure na Kebancha huku Serengeti Mara, hadi hivi sasa Saa 12:20pm, Karatasi za kupigia Kura hazijafika Vituoni bila taarifa toka kwa Viongozi wa ngazi za juu, tunapohoji kuhusu sababu za kucheleweshwa kuanza kwa Uchaguzi, wanabaki wanatupiana Mipira. KAMA IPO, IPO TU... PIGA KURA LINDA KURA.
mkuu hiyo tayari tumesha ifuta, hapa hatudaiwi,ccm out.shime watz,tufutieni CCM madarakani
Tabata matumbi ccm wameshindwa kuingiza masanduku ya kura bandia uchaguzi umeailishwa.
Duh? Wilaya nzima? Kwa minajiri hyo CCM ni daima dumu.
Huku kwetu kilindi hatufanyi uchaguzi maana ccm imepita bila kupingwa wilaya nzima
Chadema ikipata mitaa hata kumi tu, Nitatembea uchi Kariakoo.