Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Mbeya mjini kitongoji cha isengo marry mwanjelwa mwenyewe alipanda jukwaa la chadema akampigia kampeni mgombea wa chadema maana kaona hana pakutokea
 
Njia kuu.
 

Attachments

  • 1418545526523.jpg
    1418545526523.jpg
    7.4 KB · Views: 1,901
Huku Mtaa wa AMANI kata Liwiti Segerea hadi sasa vifaa havijafika kwahyo bado upigaji kura haujaanza.
Jino kwa jino hata waje saa sita.
 
mbalizi ndo soo. ccm wamekod barmaid kushangilia ila wapi. jana si walijifanya wanatanda barabarani tarafani kwa mdundiko tena karibia na kituo kabisa, basi kuna dereva moja wa serela akawa analipeleka tu wacha walalamike, wasingeweza mshushia kichapo kwa maana maeneo hayo kuna full bodaboda na makonda kwa hiyo wangekula kichapo cha maana
 
Tabata mda huu watu wakitimiza wajibi wao
 

Attachments

  • 1418535199914.jpg
    1418535199914.jpg
    90.8 KB · Views: 734
Leo itakuwa siku furaha kwa watanzania waliotimiza haki ya kuipiga kwa kutowapigia kura wezi wa mali za umma ccm mimi nimeshatimiza wajibu wangu kama wewe bado wahi sehemu ulipojiandikia ukapige kura yako angalizo kwa ccm mkijaribu kuchakachua kura leo mtakiona cha mtema kuni UKAWA TUMAINI JIPYA TUNA IMANI TUTASHINDA
 
Hahahahahahaha dah haya mkuu! Nenda uhazili washafungua.....
 
Huku nyakato mtaa wa nundu mwanza shida has a, msjina yalishachanwa foleni hazitembei
Kero nyingi sana
 
Mkuu hapa kidole gumba kimeshachafuka na wino kuashiria kuwa nimeshatimiza wajibu. Naamini maeskrow mtaani kwetu yatalia leo
 
Ulitakiwa tu kuhimiza watu kupiga kura lakini sio kufanya kampeni hapa siku ya leo. Nyie ndo mnavunja utaratibu mkishitakiwa ati mmeonewa. Shame on you.

Wapi Nimepiga Kampeni? Kutaja Matatizo Yanayowakabili Wananchi Na Kuwataka Wakachague Viongozi Bora Watakaotuondolea Matatizo Yetu Hy Ni Kampeni? Kampeni Ya Chama Gani?
 
Hadi sasa hakuna kituo kilichofunguliwa wapiga kura wapo kibao katika vituo.

Jambo lililonishitua hapa ni majadiliano na malalamiko ya wananchi kuwa eti wamesikia matangazo kuwa watu wanatakiwa kifika na vitambulisho kama kadi ya kupigia kura au leseni.

Ukweli wa jambo hili ukoje maana uchaguzi huu naona unafanyika kama haukujulikana na serikali kuwa upo!

Au njama za walioko Madarakani!!!!
 
Back
Top Bottom