Kilindi wilaya nzima noo upinzani jamani? Kazi mnayo wapinzani.
Bahati mbaya akili ni zilezile za kuchovya kwenye kashata! Umejiuliza kujua kuwa ni hujuma za chama dola au ni kweli upinzani walishindwa kusimamisha wagombea?!
Kwa taarifa yako wagombea karibu wote wa CHADEMA waliwekewa mapingamizi kwa tumia mihuri ya Kata wakati walikuwa wamekubaliana na Mkurugenzi itumike na matokeo yake akawageuka... Hii inchi ina demokrasia ya kijinga sana,
duuh,,,,,,hawa wana akili sana, kwa hiyo ukipiga kwa kuangalia chama unakuwa unampigia mgombea wa chama kingine.
Hivi unawezaje kuupload video? Kuna Waziri alitaitiwa jana usiku akitoa hongo ..
Huku kwetu kilindi hatufanyi uchaguzi maana ccm imepita bila kupingwa wilaya nzima