Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

CHADEMA IPO ILIKUEPO NA ITAENDELEA KUWEPO, Mhe, MBOWE bado muhimu sana kwa sasa kuliko wakati wowote ule. Mapandizi yasipewe nafasi tena, tumejifunza inatosha.
#MWAMBA TUVUSHE
 
Crash vipi kamanda upo??
Tupe updates maana leo watu wanafatilia kila kona ya nchi na dunia nzima, USA EU na UK!!
Viva CDM!!
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Its your opinion
 
CCM wametishwa mno na mkutano huu.
CCM ipi sasa maana wanaujua mziki wetu mimi naona wanaoshangaa ni polisi na vyomba vyao kuona baada ya miaka nne bila kufanya siasa bado chadema inatisha je wakiachia miezi hata 4 itakuwaje?
 
Chama kikuu cha upinzani kinachopokea ruzuku ya zaidi ya Sh milioni 326 kwa mwezi kinashindwaje kurusha mubashara tukio hili muhimu la uchaguzi mkuu?

Mbona CCM, CUF na NCCR Mageuzi hurusha live chaguzi zao nyie Chadema mnafeli wapi lakini? Fedha za ruzuku mmeishia kununulia sare za mkutano badala ya kutuonyesha tukio la uchaguzi sisi walipa kodi na wanachadema duniani kote?

Mnazingua bhana sometimes.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom