Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Polisi hupokea amri na kuzitekeleza. Naikumbuka hii tafsiri tulipewa na afisa mmoja wa polosi tukiwa ktk mafunzo fulani zamani.
P = political
O = order
L = law/s and
I = inestigation for/to
C = Criminal
E= emergencies
Akasema ni amri za kisiasa na sheria za upelelezi kwa makosa ya kijinai ya dharura
Kwa hiyo polisi hutumikia siasa. ni chombo cha mabavu cha dola ku eforce law and order from colonial mentality. However, baada ya uhuru tafsiri sahihi ni chombo cha kulinda raia na mali zao.
Sasa kwa nini wameondoa labda wameona kuna kosa la jina laweza kutokea! But ni amri.
Polis nao ni Tawi la CCM ,wanaogopa mpaka Bendera。

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ya mauzauza Bendera zinatisha wenye mamulaka Maajabu ya chattels haya Sisi Kama Chadema tunasema Mbowe mi 5 tena Mwamba Tuvushe
 
Umejijibu
Cecil Mwambe ni damu mbichi japo wahenga wanasema mpini mpya husababisha machacha na njia mpya haikosi visiki na miiba.

Freeman Mbowe ni damu ya mzee japo wahenga wanasema uzee si busara na ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi.

Wakati tunasubiri matokeo rasmi, unadhani kwa siasa za awamu ya tano, nani anafaa kupeperusha bendera ya uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzamifu,

Waliondoa tafsiri lakini Matendo yao yamebakia kuwa ni yale yale ,tofauti ni kuwa kwa wakati huu tuna Wakoloni weusi.
 
Wasije wakavamia mkutano wakasema ati hauna kibali na pia kuna harufu ya uvunjifu wa amani.
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Labda Mwambe ajiyoe mwenyewe, Mbowe kwasasa amekomaa kisiasa vinginevyo kubenea na mwenzake wangeshafukuzwa kitambo
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo msajili wa vyama vya siasa hawezi kutia neno. Anasubiri wafuasi wakatae uonevu ili atoe barua ya onyo kwa chadema. Viongozi wa dini nao wanashihudia kinachoendelea lkn wako kimya. Ngoja tusubiri kuona dini na madhehebu yake watatuma wawakilishi wa aina gani maana siku hizi nao wameshaunga juhudi.
Hivi CCM wanapochagua mwenyekiti wao Viongozi wa dini yanakuwapo? Naomba wa kunijuza
 
Kwa maelezo yako bango namba 4 wewe hutaki Mbowe aendelee,halafu inasema kuweni makini,na kutoa rai ya kuchagua mtu anaeweza kushinda hila za CCM wenzio,si munataka upinzani ufe ndiyo maana munalipigia debe pandikizi?inawauma nini Chadema ikifa wakati ndiyo kusudio lenu?Tunampigia Mbowe(MWAMBA)ili atuvushe kwenye mto wa hila zenu za mapandikizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku sisi tulishavuka waendelee kusubiri kuona kaburi la chadema kama wasira anavyo subiri kuonas kama alivyo sema miaka hiyo kuwa chadema itakufa matokeo yake kafa yeye..
 
Back
Top Bottom