Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Kwa hyo apewe mwambe marafyale.Enzi za JK watu walitamän rais dictator na mķali sasa sijui ukali na udkiteta umeleta matokeo chanya.Kwa ufupi ni kwamba sio kila mabadiliko yanaweza kuleta matokeo chanya.
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Tahadhari unapotoa mawazo yako kwa chama kingine, usisahau yanayoendelea huko kwenu CCM. nini kilimkuta Kolimba alipotumia haki yake ya uhuru wa kutoa maoni kwamba CCM imekosa dira? na huo ni ukweli kabisa mpaka leo ni tatizo katika CCM. kilichotakiwa ni kumsikiliza na kumjibu au kufanyia kazi ushauri wake.
Nini kimetokea kwa akina Kinana na Makamba ambao walifuata taratibu baada ya kuona wanachafuliwa kila uchao na huyo kuwadi wenu Musiba. badala ya kujibiwa hoja wakapewa umbea. na sasa hoja zao hazijadiliwi ila wao wanaitwa kuhojiwa!!!
 
Lete mchanganuo wa matumizi ya mil. 326 kwa mwezi! Mbowe na baba mkwe wanatia kibindoni!
Acha utaahila wewe, milioni 326 kwa nchi yenye mikoa 32. Inamaana kama unagawa kila mkoa ni milioni 15 kwa kila mkoa na kama una wafanyakazi 100 kila mkoa unawalipa 150,000/ kwa mwezi mshahara.

Is either ni kula kulala au una roho ya kimaskini au hujui hesabu au hujui hela!

Hizo hela hapo hamna cha mkutano wala mafuta ya Magari wala chochote! Usiigi mkumbo, wanaokuambia wanajua wanakugeuza wewe poyoyo!
 
Mpaka sasa Chadema umepoteza mwelekeo, haina uhakika hata na kiti kimoja cha udiwani. Anahutajika mtu wa kuivusha Chadema, Mbowe hana jipya, mbinu za Magufuli haziwezi kabisaaaaaa
Wengi tunatamàn hvyo subjectively lakin si jambo jepes kama tunavyofikiri.Shida kubwa ya wafuas wa upinzani wanatamani mabadiliko huku wamejifungia vyumbani na hvyo kuwa wajibu wa viongozi.Kazi ya vioņgozi ni kushawishi mabadiliko,je washäwishiwa wapo tayar kwa kiasi gani ,Sijawahi kuona katika historia mabadiliko ya kisiasa kuletwa na viongozi na sio umma.Labda tuseme Mbowe hana ushawishi haeleweki,je ni nan borà zaidi yake ambaye yupo tayar kwa historia ya vitendo na maneno......
 
Back
Top Bottom