daruweshi97
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 464
- 49
Mnafiki na Mganga njaa mkubwa!
Msaliti wa Mageuzi usiye na aibu!
Dhambi ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nne!
Na bado!!
Na ww ni mwanamageuzi hadhi hiyo umepata lini?
Mnafiki na Mganga njaa mkubwa!
Msaliti wa Mageuzi usiye na aibu!
Dhambi ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nne!
Na bado!!
Wewe na wenzako nani anawajua JF ikizimika na nyie mnazimika.
Mbona wewe ni ACT ? Hili ni jumuiko la wanafiki ! Nawe si Mnafiki!
Nimejiuliza sana kwa nini wanaCCM ni watetezi wa ACT mfano MSALANI
Nimeanza kupata connection
Mwigulu akikiri connection yake na Ludovick.
Ludovick naye connection na ACT yajitokeza ingawa alikuwa anakataa kuwa yuko ACT, yanafichuka taratibu..
Ludo connected to Mwigulu connected to ACT....
Dots zinajiunga zenyewe.
Unataka aje Ben Saanane tu au aje na Yericko Nyerere na wengine wenye uzito wa juu unaotambuliwa na shirikisho la mikakati ya kisiasa duniani?
Kama naye ni ACT jibu ni ndio ......so Ben nae ni mnafiki!?
Nilishakueleza na naomba nirudie kwa mara ya mwisho.
Wewe huna hadhi ya kujibu post yangu yoyote.
Unadhani ukijibu Post yangu unaheshimika.Pole sana!
unastahili kifo wewe muongo mzandiki na mtu wa bei ndogo
Yericko Nyerere achana na wajinaga kama hawa kwa umasikini tulio nao Mpumba.vu kama huyu anakuja kuleta ligi za kijinga hapaUnataka aje Ben Saanane tu au aje na Yericko Nyerere na wengine wenye uzito wa juu unaotambuliwa na shirikisho la mikakati ya kisiasa duniani?
Wewe ni msukule wa knondoni tu. unajitoa ufahamu kwa mambo yanayojulikana
Mkuu MSALANI, Ben ameshajitokeza kukabili kimbunga cha Tsunami?We mwehu kweli, aheshimike kwa ajili ya kujibu post yako?
Kwani wewe una heshima gani au umashuhuri gani hapa JF?
Endelea kujikomba kwa wanasiasa ili upate mlo wako.
Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.
Rutta Waitu.........Iwe yagendaga wapi ?Mkuu MSALANI, Ben ameshajitokeza kukabili kimbunga cha Tsunami?
Wewe huyo Yericko wako hajaitwa hapa maana hana lolote, hapa kaitwa Boss wake Ben saanane.Yericko Nyerere achana na wajinaga kama hawa kwa umasikini tulio nao Mpumba.vu kama huyu anakuja kuleta ligi za kijinga hapa
acheni Ujinga mkaa mbele ya watu mnapigwa mawe kama wezi
eti aje tuongee muuongee nini.......................what do u think yopu can speak
miwatu mingine hata ikifa watu hawasikitiki upewe pole ya nini
Heri kukuna na Shetani ulikokukutana na wewe Ludo.
mimi si mlevio lakini natamai ungekufa sijawahi kunya pombe lakini natamani ungekufa sijakosea .......................I mean ungepata ajali ya wewe kufaMkuu Joseph Ludovick hakika wewe ni mwamba na kiboko wa Bavicha, Maji yamewafika shingoni na wameona wamfiche Ben Saanane sababu wanajua akija hapa mambo yote yatakuwa hadharani.
Duuu Mbwembwe zote za Ben na Bavicha kaingia mitini!
Mkuu ludovick nimependa haya maneno yako ya hekima.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na Asiye kunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti ni adhabu ya Mungu kutupa! Bila shaka huo ni ulevi tuu
Hakika tumepata dawa ya Bavicha.
Mkuu Ben yuko wapi?Rutta Waitu.........Iwe yagendaga wapi ?