Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Mipango ya kigaidi anaijua mwigulu , muulize vizuri acha kujitoa akili hapa

Soma hiki kisa kwa makini
AMWAGIWA TINDIKALI NA KUUNGUA VIBAYA MJINI IGUNGA

MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala leo kwa gharama za CCM
Kumekuwepo na kushutumiana kati ya vyama vya CCM na CHADEMA kutokana na matukio kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea, hasa katika kipindi hiki cha Kampeni kuelekea uchaguzi mdogo wa Mbunge wa jimbo la Igunga, kufuatia kujiuzulu kwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo Bw. Rostam Azizi

Vyombo vya usalama na ulinzi vinatakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na umakini mkubwa kwa muda wote wa kampeni za uchaguzi katika jimbo hilo, ili kudhibiti vitendo kama hivyo vinavyoweza kupelekea uvunjifu wa amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni jimboni humo.

MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wasiofahamika , ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kupandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala leo kwa gharama za CCM
Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)
 
Joseph Lakini kihalisia wewe unaonekana ni agent wa ACT kabisa maana mpaka leo unafanya kazi na Mwigamba na mpaka anakupeleka Dodoma? nivema ukikiri tu kelele zipungue
 
Haki sawa,
niko chadema kwa miaka sasa. nimekuwa makao makuu ya chama kwa muda sasa.mwigamba alipoombwa kuja kuwa mhasibu alinikuta.
nimeshiriki naye mambo mengi akinipa malipo yangu akiwa mhasibu wa chama.nimekuwa naye kwenye operation za chama kwenye chaguzi ndogo.mwigamba amekuwa anaandika makala nyingi kupitia kalamu yake.
so tunafahamiana. alipopata matatizo chamani na hatimaye kufukuzwa, na sasa akiwa ACT bado nawasiliana naye.
sasa nilimuomba lift anifikishe dodoma.yeye alikuwa anaenda kigoma. baada ya ajali yeye amerudi dar,mimi niko dodoma naendelea na shughuli zangu.
Uliingia lini makao makuu ya Chadema wewe? Ulikuwa unafanya kazi idara gani ? Maana kwa uchunguzi wangu najua ilitumika mwaka 2009 wakati wa uchaguzi wa huko Chadema kumfuatilia Shibuda na Zitto na kuwa ulikuwa ndio umewekwakama Atachee kwenye kundi hilo , ukamfuatilia sana Julieth Lushuli .........sasa kama nakosea iseme kweli ......

Pili, wewe Hujawahi kuajiriwa na Chadema , ila ulikuwa Volunteer ukiwa unasema DUCE , sasa leo kwanini useme uongo kuwa ulikuwa mwajiriwa makao makuu ya CHADEMA?

Jana ACT walipopata ajali mbona huku tajwa ? Wewe unatumika na nani kwa sasa? I pose for now .....

Kwa kuwa niliyoandika hapa unajua ni ya siri , unaweza ukanyanyua gloves ukaondoka ukumbini maana utaumbuka maranyingine ....

cc joseph Ludovick
 
Umekataliwa duniani na mbinguni pia kutokana na dhambi ya usaliti.Vinginevyo Mungu angekupenda zaidi.
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Msaliti utaongea nini wewe? kazi yenu kutangatanga tu!
 
Uliingia lini makao makuu ya Chadema wewe? Ulikuwa unafanya kazi idara gani ? Maana kwa uchunguzi wangu najua ilitumika mwaka 2009 wakati wa uchaguzi wa huko Chadema kumfuata Lina Shibuda na Zitto na kuwa ulikuwa ndio umewekwakama Atachee kwenye kundi hilo , ukamfuatilia sana Julieth Lushuli .........sasa kama nakosea iseme kweli ......

Pili, wewe Hujawahi kuajiriwa na Chadema , ila ulikuwa Volunteer ukiwa unasema DUCE , sasa leo kwanini useme uongo kuwa ulikuwa mwajiriwa makao makuu ya CHADEMA?

Jana ACT walipopata ajali mbona huku tajwa ? Wewe unatumika na nani kwa sasa? I pose for now .....

Natamani huyu mtu haki sawa awe na elimu ndogo tu.vinginevyo sijui ni namna gani anaweza kutoelewa kwa kiwango hiki.
Ona anasema mimi sijawahi kuajiriwa chadema bali nilikuwa volunteer tu! mimi hakuna mahala nimetumia hayo maneno.halafu anasema nilikuwa na jukumu la kufatilia shibuda.sasa nilipewa jukumu hilo kama nani? dhana ya great thinkers inaharibiwa na watu kama huyu
 
Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.

Kumbe ni kweli mlikuwa na "mipango yenu" (Ludovick, Mwigamba na watu wa ACT) na unataka tu kuchunguza kama Ben anaifahamu. Hebu iseme hiyo mipango yenu ili tuone kama inafanana na taarifa alizo nazo Ben. Kwa kufanya hivyo, uchunguzi wako utakuwa umekamilika. Eti na wewe ni 'political strategist'?
 
Nafikiri Huyu Jama anashida kwenye Ubongo maana ajijui aliko mara chadema mara ACT sasa sema yote kuwa upo CCM na kiongozi wako ni MSALANI NA ifweero
 
Soma hiki kisa kwa makini
AMWAGIWA TINDIKALI NA KUUNGUA VIBAYA MJINI IGUNGA

MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala leo kwa gharama za CCM
Kumekuwepo na kushutumiana kati ya vyama vya CCM na CHADEMA kutokana na matukio kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea, hasa katika kipindi hiki cha Kampeni kuelekea uchaguzi mdogo wa Mbunge wa jimbo la Igunga, kufuatia kujiuzulu kwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo Bw. Rostam Azizi

Vyombo vya usalama na ulinzi vinatakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na umakini mkubwa kwa muda wote wa kampeni za uchaguzi katika jimbo hilo, ili kudhibiti vitendo kama hivyo vinavyoweza kupelekea uvunjifu wa amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni jimboni humo.

MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wasiofahamika , ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kupandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala leo kwa gharama za CCM
Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)

Sina muda wa kusoma propaganda za mwigulu mimi.... Samahani kwa hilo
 
Hii sasa ni hatari. Kumbe Ludovick Joseph na Ben Saanane ni ACT Tanzania! Hakika Ndani ya CHADEMA atabaki Mbowe na Dr Slaa tu
Mkuu Lizaboni unajaribu kusema Ben Saanane nae ni ACT? Ndio maana hadi sasa hajajitokeza?
Daaa kumekucha.
 
Last edited by a moderator:
Sambai,
Nitakuwa habari eeh? kuna kitu mnakitengeneza? Yesu akijua kuwa atasulubiwa alisema...."hicho mnachotaka kufanya, fanyeni upesi"
 
Jamani hamna mtu mwenye picha ya huyu chura twende sawa? Sisi wengine naona tunaruka tu na kukanyagana.
 
Natamani huyu mtu haki sawa awe na elimu ndogo tu.vinginevyo sijui ni namna gani anaweza kutoelewa kwa kiwango hiki.
Ona anasema mimi sijawahi kuajiriwa chadema bali nilikuwa volunteer tu! mimi hakuna mahala nimetumia hayo maneno.halafu anasema nilikuwa na jukumu la kufatilia shibuda.sasa nilipewa jukumu hilo kama nani? dhana ya great thinkers inaharibiwa na watu kama huyu

Jibu maswali yangu yako straight na specific .........utaumbuka .........endeleza ,,,,,,,nimekutajia Julieth Lushuli ili ujue unayepambana naye Ana taarifa kuhusu wewe kwa kiasi gani ...........Jukumu la kumfuatilia Zitto na kundi lake 2009 kwenye uchaguzi wa Chadema ulipewa kama maandalizi ya kukuangalia kama ingefaa kuwa recruited ......ila ukaonekana huna sifa ......ndio maana ukaachwa hadi ulipoanza kutumika na Mwigulu na TISS kwa hoja ya kupata milioni 30 .......unakumbuka ? Yawezekana nikawa ndio mwajiri wako kijana jitetee
 
Zungu,
Nilitarajia ujue kwa nini maneno hayo yamewekewa funga semi.hilo halionekani kwenye maandishi yako.nifanyeje tuongee pamoja? naona level tofauti hapa
 
Natamani huyu mtu haki sawa awe na elimu ndogo tu.vinginevyo sijui ni namna gani anaweza kutoelewa kwa kiwango hiki.
Ona anasema mimi sijawahi kuajiriwa chadema bali nilikuwa volunteer tu! mimi hakuna mahala nimetumia hayo maneno.halafu anasema nilikuwa na jukumu la kufatilia shibuda.sasa nilipewa jukumu hilo kama nani? dhana ya great thinkers inaharibiwa na watu kama huyu
Mkuu jeseph ludovick! Asante kwa kuendelea ktujuza duuu kumbe walikukana bure daaa!
Mungu aendelee kukulinda bila shaka Ben hawezi kujitokeza daaa una nondo kali sana.
 
Last edited by a moderator:
Haki sawa,
niko chadema kwa miaka sasa. nimekuwa makao makuu ya chama kwa muda sasa.mwigamba alipoombwa kuja kuwa mhasibu alinikuta.
nimeshiriki naye mambo mengi akinipa malipo yangu akiwa mhasibu wa chama.nimekuwa naye kwenye operation za chama kwenye chaguzi ndogo.mwigamba amekuwa anaandika makala nyingi kupitia kalamu yake.
so tunafahamiana. alipopata matatizo chamani na hatimaye kufukuzwa, na sasa akiwa ACT bado nawasiliana naye.
sasa nilimuomba lift anifikishe dodoma.yeye alikuwa anaenda kigoma. baada ya ajali yeye amerudi dar,mimi niko dodoma naendelea na shughuli zangu.

ACT uenezi amesema wameendelea na safari ya Kigoma wewe unasema amerudi Dar!
 
Back
Top Bottom