Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Shida yako unapenda kutumika kama Condom,
Umekaa kinjaa njaa tu, na watu kama nyinyi hamtakaa mfanikiwe milele maana mnaishi kwa kutegemea fitna na majungu!!
Kijana anatia huruma anaishi kwa kuungaunga,
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Maogezi yako na Mwigamba hamja maliza mpaka muyalete humu? Ben mpuuze huyu kama unavyowapuuza Wasaliti wengine.
 
Ludo sasa yaliyojiri ni kumchallenge Ben? Hata hukasema yaliyojiri kufwatana na heading Tajo.

Mkuu huyo jamaa kaishiwa yani hana kitu kichwani kwa sasa ni kama puro tu.

Ben tafadhali usiuchangie huu uzi maana utaupa hadhi isiyostahili.
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Fanya kazi traitor acha kuganga njaa

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
we ludo laana ya usaliti inakusumbua sana . lkn we mwenyew unajiona uko sawa sawa . Mungu alimpa Farao mitihani mingi nakuufanya moyo wake kuwa mgumu ili asiamini. Piga goti tubu omba msamaha kwa watanzania
 
Swali, hivi Ludo ulijuaje/ulipata vipi habari kuhusu ACT kufanya ziara Kigoma mpaka ukawaomba lifti?
Kigoma , ulishawahi kwenda au ndio mara ya kwanza kwenda?
Kwanini mwenezi wa ACT , aliogopa kutaja jina lako kuwa wewe ulikuwa sehemu ya Msafara wa ACT?
 
Kwanza naomba kushukuru serikali yangu kwa mambi mazuri wanayofanya.
Wananchi wamenituma jimbo langu hakuna umeme wala maji ...bara bara hazipitiki mvua iknyesha....... Naunga mkono hoja
 
Swali, hivi Ludo ulijuaje/ulipata vipi habari kuhusu ACT kufanya ziara Kigoma mpaka ukawaomba lifti?
Kigoma , ulishawahi kwenda au ndio mara ya kwanza kwenda?
Kwanini mwenezi wa ACT , aliogopa kutaja jina lako kuwa wewe ulikuwa sehemu ya Msafara wa ACT?

Hakumtaja kwa sababu walikuwa wamepanga mipango ya kishetani lakini Mungu akawaumbua.

Ushetani aliomfanyia Lwakatare utamtafuna huyo msaliti Ludo mpaka siku atakayozikwa
 
hahahaha Condom Ludovick We Kweli Mtata Yaani Unatokeaga Kwenye Mambo Ya Utata Utata Tu. Ama Kweli Kila Binadamu Ana Namna Yake Kutengeneza HISTORIA, Nimeshakuweka Kwenye Kitabu Changu Cha Historia KUWA KULIKUWA KUNA MTU ANAITWA JOSEPH LODOVICK.
 
Hii sasa ni hatari. Kumbe Ludovick Joseph na Ben Saanane ni ACT Tanzania! Hakika Ndani ya CHADEMA atabaki Mbowe na Dr Slaa tu
 
Ndugu yangu anakakaa pandambili amenipa in full mmejigongesha kwenye Lori .huu ni upuuzi kwa vijana kama nyie. Kujitengenezea Ajali . Mnashindwa kufanya kazi ZA uzalishaji mnaishi kwa political movies, pumbavu sana. Nna Tusi ila nao hola ban.
 
Hakumtaja kwa sababu walikuwa wamepanga mipango ya kishetani lakini Mungu akawaumbua.

Ushetani aliomfanyia Lwakatare utamtafuna huyo msaliti Ludo mpaka siku atakayozikwa
Lwakatare na Ludovick lao ni moja tu
 
Back
Top Bottom