sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Sambai,
Nitakuwa habari eeh? kuna kitu mnakitengeneza? Yesu akijua kuwa atasulubiwa alisema...."hicho mnachotaka kufanya, fanyeni upesi"
Hahahah , kweli umekwisha kaka na usipotubu utakuja kukutana na janga kubwa zaidi... Ushaanza kujifananisha na Yesu? Oooh, Mungu akusamehe bure manake umesahau kuwa Yesu hakuwa mnafiki wala muongo kama wewe! Ndio maana chochote alichokisema kwa kinywa chake kiligeuka kuwa baraka... Wewe msaliti huna maana kabisa!