Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Haki sawa,
niko chadema kwa miaka sasa. nimekuwa makao makuu ya chama kwa muda sasa.mwigamba alipoombwa kuja kuwa mhasibu alinikuta.
nimeshiriki naye mambo mengi akinipa malipo yangu akiwa mhasibu wa chama.nimekuwa naye kwenye operation za chama kwenye chaguzi ndogo.mwigamba amekuwa anaandika makala nyingi kupitia kalamu yake.
so tunafahamiana. alipopata matatizo chamani na hatimaye kufukuzwa, na sasa akiwa ACT bado nawasiliana naye.
sasa nilimuomba lift anifikishe dodoma.yeye alikuwa anaenda kigoma. baada ya ajali yeye amerudi dar,mimi niko dodoma naendelea na shughuli zangu.

Umeenda kufatilia salio lako kwa Boss wako Mwigulu Nchemba....
 
Napata mashaka makubwa na hiki chama cha ACT,, hiki chama kina malengo yake naona, sio siasa za kawaida tunazozijua. TISS agents wote naona wanajifungamanisha na hiki chama. Tufungue macho watanzania
 
kwahiyo ile 50,000/- uliorushiwa na Nchemba isingetosha nauli ya Dodoma?

Upande uliopo (walio kupandikiza ili ujifanye CDM) ukiwafanyia hivi (picha zako za kihindi), tutakuokota ndani ya kisima kilekile cha maji - huna macho!

Hahahahah... Elfu 50 alirushiwa ya kula njiani mkuu....
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Ajali mbaya lakini hujachubuka?! Ajali iliyotokea pale pale kwa Wangwe? Ulipewa lift na Maskini Mkulima nani alikuombea hiyo lift?
 
Last edited by a moderator:
Chadema watu wabaya sana, yani mtu akipata matatizo yenyewe hupenda kushangilia..hii ni dalili ya laana na kuchanganyikiwa
 
Mkuu Ludo, ningependa ufikiri mara mbili au ata tatu juu ya mambo yako unayoyafanya. Ni mjinga tu ndo akaona raha kuona kuwa jina lake ndo linakuwa topic kwenye thread na hataki kuangalia maudhui yake.

Nakuakikishia leo na siku mbili tatu zijazo utakuwa mada hapa jf ila siku za usoni utakosa thamani kama sio maana ata kwa mkeo na wanao.

Ushauri wa bure.
IF YOU CAN'T FIGHT AGAINST THEM JOIN WITH THEM
 
Mtu aliyeumbua mipango ya kigaidi ya kiuwaji anaitwa msaliti, kweli machadema hamnazo, kwa hiyo gaidi anayelisha watu sumu ndio shujaa wenu???
 
Ben Saanane njoo uumbuliwe hapa!
Wewe ni mwanachama wa ACT-Tanzania?

Mbona una uchungu sana na ACT-Tanzania na hujizuii kujitokeza wazi?

Tuambie connection kati ya ukereketwa wako kwa CCM wakati huo huo, uwakili/utetezi wa mambo yasiyoeleweka ya ACT?

Au tuamini kuwa ACT wanapanga mambo yao pamoja na CCM? Na kufadhiliwa na CCM? Una uchungu mipango yenu inaanza kufahamika hadharani?
 
Mtu aliyeumbua mipango ya kigaidi ya kiuwaji anaitwa msaliti, kweli machadema hamnazo, kwa hiyo gaidi anayelisha watu sumu ndio shujaa wenu???

Mipango ya kigaidi anaijua mwigulu , muulize vizuri acha kujitoa akili hapa
 
Nimeshasema CHADEMA HATUKUTAKI Mmeshageuza CHADEMA MAHALA PA KUTAFUTIA UMAARUFU Unaona Hata Z Hataki Kuondoka Kang'ang'ania Kama Kupe.

tatizo katika kujibu watu kama huyu.ni kama unajibu mzimu. ningejua kama wewe ni kiongozi wa chadema ingekuwa na maana kutafakari unaposema "hatukutaki". lakini sasa huwezi kuzingatia kelele za wapita njia
 
pole sana tuache siasa kwenye matatizo jamani hata unamchukia mtu usimuhukumu kwani wewe ni malaika huna dhambi
 
Back
Top Bottom