Haki sawa,
niko chadema kwa miaka sasa. nimekuwa makao makuu ya chama kwa muda sasa.mwigamba alipoombwa kuja kuwa mhasibu alinikuta.
nimeshiriki naye mambo mengi akinipa malipo yangu akiwa mhasibu wa chama.nimekuwa naye kwenye operation za chama kwenye chaguzi ndogo.mwigamba amekuwa anaandika makala nyingi kupitia kalamu yake.
so tunafahamiana. alipopata matatizo chamani na hatimaye kufukuzwa, na sasa akiwa ACT bado nawasiliana naye.
sasa nilimuomba lift anifikishe dodoma.yeye alikuwa anaenda kigoma. baada ya ajali yeye amerudi dar,mimi niko dodoma naendelea na shughuli zangu.
Na hiyo mikoba ya Zitto unayombebea wewe ni mganga wake?