Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Dhambi ya usaliti itawafuna hadi shetani atakapo aibika.Watanzania wanahitaji mabadiliko,nyie mnafitini harakati za keleta mabadiliko.Hamponi hata mtambike.
Mkuu Msingida hata Mtei ni msaliti maana alipinga maneno na Tuhuma za nduguyo Tundu lissu dhidi ya Mwl Nyerere!
Pengine Mtei anatumika na CCM!
 
Last edited by a moderator:
Acha kumtautia njia ya kujificha!
ameitwa hapa aje akutane na Tsunami.

Labda kama ni namba ya viatu!

Kamanda acha kujitoa ufaham, Ben hawez muogopa Ludo hata siku moja sema mda mwngne silence ni jibu tosha kwa mpumbafff....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ludovick ndiye alimrekodi lwakatare. alipojua mpango muovu wa lwakatare aliamua kumtafuta msaky kumueleza ili achukue tahadhari. msaky akamwambia Emmanuel Nchimbi aliyekuwa rafiki yake sana.
nchimbi ndiye alimwambia Mwigullu. so Mwigullu akamtafuta Ludo kwa simu na ndiyo maana walionekana wamewasiliana mara nyingi.hata elfu 50 aliyomtumia ilikuwa ya mawasilino.
kwa hiyo ni kweli kuwa lwakatare alikuwa anataka kumuua au kumdhuru msaky. ni kweli kuwa Ludo alimwambia Msaky. kisha akaambiwa Nchimbi naye akamwambia mwigullu. sasa kosa la ludo ni kumuokoa msaky? acheni unazi wa chadema
 
Haelewi huyu hata ukimuelewesha kiasi gani.

Kamanda acha kujitoa ufaham, Ben hawez muogopa Ludo hata siku moja sema mda mwngne silence ni jibu tosha kwa mpumbafff....
 
Nasema ukweli mgekufa, hasa wewe ningekunywa wine! Kitendo ulichomfanyia Rwaks ni zaidi ya dhambi zote duniani, tena kwa vipande vya fedha. Naamini Mungu si mzembe atakulipa tena hapa duniani!

huna unalolijua unabaki Ku condem tu! rwaks anamatatizo yule sema ashukuru siasa za Maji taka ambazo hata ukweli unaweza ukageuzwa kua uongo!
 
Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.

Acha upogo wewe, utang'ang'aniaje kuwa wewe bado uko chadema wakati matendo yako ni ya kisaliti tu kukicha? Usitufanye wote wenye akili ndogo kama wewe na wasliti wenzako ebo!
 
Kamanda acha kujitoa ufaham, Ben hawez muogopa Ludo hata siku moja sema mda mwngne silence ni jibu tosha kwa mpumbafff....
Mkuu mbona unatetea asije? Kuna nini Anaficha?
Tafadhali mwambie ajitokeze anaitwa na Ludo!

Ben si kawaida yake kukimbia watu lazima kuna jambo anaogopa Litatokea.
 
Kaka MSALANI acha kuandika ujinga mkuu hata kama unatumia fakeID.

Na huyu mwenzio ameandika nini? kuna ujinga kama kumuombea mwanadamu mwezio kifo? Mbona hukumuonya?
quote_icon.png
By sabasita
nasikitika kwanini HUJAFA.. mwana izaya wewe
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.
Afu endelea tu na khanga moko, utapigwa ya ----!
 
Acha upogo wewe, utang'ang'aniaje kuwa wewe bado uko chadema wakati matendo yako ni ya kisaliti tu kukicha? Usitufanye wote wenye akili ndogo kama wewe na wasliti wenzako ebo!
Wewe unajaribu kusema unaijua chadema kuzidi kamanda Ludo?
 
Ludo nimeangalia mpaka sasa hivi ni pg ya 10 sijaona ben saa9 ajitokeze. hawa jamaa ni misukule kweli kweli ila kaa nao makini maana wato kama akina Zitto wamekoswakoswa na sumu.

Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.
 
Nimeshasema CHADEMA HATUKUTAKI Mmeshageuza CHADEMA MAHALA PA KUTAFUTIA UMAARUFU Unaona Hata Z Hataki Kuondoka Kang'ang'ania Kama Kupe.
wewe nani katika chadema!? chadema ni ya mboe nyie Sie waamriwa tu!?
 
huna unalolijua unabaki Ku condem tu! rwaks anamatatizo yule sema ashukuru siasa za Maji taka ambazo hata ukweli unaweza ukageuzwa kua uongo!

Kama vyombo vya dola vya ccm vimeshindwa kuona kosa juu ya Rwaks, bado unasema ukweli unaweza kubadilishwa kuwa uongo! Ccm peke yake ndo inaweza kubadili uongo ukawa ukweli maana wao ndo watawala wanaweza kufanya lolote wanalotaka lakini Mungu tu ndo hayuko upande wao ndo maana mabaya yote wanayowafanyiwa wengine yanwarudi wao! "Chadema is protected by God, ccm is protected by gods"!
 
Back
Top Bottom