kunaa na watu na viatuDaah aisee kuna binadam sijui wanatumia nn kufikiria.
Tufanye ni uongo hakupigwa
Ni marufuku kuhoji nje ya mawazo ya bavicha hasa kwa swala linalomhusu lisu.Lkn kosa lake ni nini huyu mtu!!?? Kuuliza makovu ya risasi yalipo??!! Km yeye hayaoni na wewe unayaona c umwelekeze ayaone,matusi wala hayahitajika pale.
Of course nilitegemea utetezi wa yako wapi makovu.Sijaona shida ya hili swali na sioni umuhim wa ktukana.Mwenyewe sijayaona na nilitegemea maelezo ya kitaalamJibu la swali ni kumuonesha yalipo makovu. Kama tulivyokuwa tunadai tuoneshwe vyeti kuthibitisha elimu ya Bashite.
hakuna mtoto hapa hizo ni kejeli za mashetani. Angalia comments zote zilivyomshambilia, unadhani wote hao hawana utambuzi wa dhamira ya mtu...Lkn kosa lake ni nini huyu mtu!!?? Kuuliza makovu ya risasi yalipo??!! Km yeye hayaoni na wewe unayaona c umwelekeze ayaone,matusi wala hayahitajika pale.
Mie niliwahi kubishana ma watu tukiwa nairobi kamkunji,baada ya picha ya lissu ya kwanza kuwa imetoka,kuna mtu alihoji kw nn lissu anaonekana ni mnene na ana afya njema wakt alikuwa anapumua kw mashine na kula kw mpira kw miezi miwili?! Walimpolomoshea matusi ya juu,lkn mie niliwaambia wampe majibu badara ya kutukana.Ni marufuku kuhoji nje ya mawazo ya bavicha hasa kwa swala linalomhusu lisu.
Risasi inakopitia ndio tundu linakuwa dogo lakini inakotokea nafasi huongezeka sana kwa kuwa inakuwa propelled. Tulitegemea kuona mguu umejaa matundu. Hivyo jibuni hoja acheni usanii. Mgonjwa wenu mmemfanya mtaji ili mzidi kuneemeka kwa kusingizia kapigwa risasi zaidi ya kumi na sita na zimetolewa mwilini. Hakika wajinga ndio waliwao.makovu ya risasi ni madogo sana ndugu na unaweza usiyaone kabisa
Hospitali za Nairobi wana utalaam wa kufuta makovuKuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Jibu swali yako wapi makovu?Dahh yaani mbona unakuwa na roho ya shetani hivyo? Una roho mbaya mpaka shetani anakushangaa. Yaani unaita comedy kweli? Yaani hata hiyo picha jinsi mtu alivyokonda hivyo humuonei huruma!! Siasa gani hiyo, unajifanya kupenda chama huku una roho mbaya au ulipenda afe ndo ufurahi?
Acha ushabiki wa kujipendekeza wakati haufaidiki na chochote, unajichumia dhambi wakati hata mwenyekiti wa wilaya hakujui acha hizo. Hivi wewe unayajua makovu ya risasi?
Mkuu swali lake ni la mcng sana.Jibu yako wapi makovu?Njoo na majibu ya kitaalam sio kutafuta sympathy za kijinga.Kwa akili ya swali lako, hata shetani anakushangaa ndugu yangu!!!!
Yaani pamoja na ukatiri huo kwa Lissu, bado unaulizia makovu????