Swali lataka jibu. Kovu la risasi lina mounekano kama huu.
Au huu kwa makovu ya zamani.
Ukizumu vizuri picha ya Lissu kuna kovu moja linaonekana mguu wa kulia wa Lissu. Ingawaje siwezi kusema kwa uhakika ni kovu la risasi.
Watu wanaleta uongo kuwa ooh hakupigwa mguuni, ukitibiwa vizuri kovu halionekani. Bullshit ni kuleta uchama kwenye kisa cha kutatanisha. Na ndio maana ni muhimu kwa polisi kumuona muhusika na shahidi ili kupata ufumbuzi wa kesi. Idadi ya makovu ikiwa tofauti na maelezo yaliyotolewa na watoa habari yake pia inaweza kuwa ishu na inaweza kupelekea kujua kama kuna muongo mahali fulani.