Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Huyu anafikiri hatukumbuki Ndugu yake akifungwa kwa RUSHWA ...imagine akahongwa viti senti vidogo ...na Vibasi ..sijui vikiitwa BNNN ..Viki ply Mwenge - Posta ...na mkewe akapigwa safari ya Kuosha masho Japan ....all that at expense of DAR ES SALAAM ROAD UPGRADE MAINTANCE PROGRAM ....YA MID 90s....
Mwenzake Eng Mlingwa ...mjanja Siku hizi ni mkulima mkubwa tu wa miwa ....yeye ni mtumishi wa kwa mama rwaks

Acha awadanganye wenzake nao wakanyee DEBE Segerea Kama Mzee wao

Kiula naye ni Mwizi tu aliyeamuwa kwenda kuiba sadaka za waumini ambazo huwa hazina kesi.
 
rizmoko tulisoma naye forodhani st joseph alinizidi darasa moja, alikuwa boya tu....wakati ule mwalimu mkuu wa forodhani alikuwa mwalmu mbuya....
rizmoko alikuwa boyaaaa tu.....kuna wakati nili bahatika kukutana na mwl mmoha wa forodhan anaitwa mwlm manyama anashangaa dogo kawa fisadi hehehehehe

Umenikumbusha walimu wangu aisee daah....Riz alimaliza mwaka gani?
 
Wote waliofanya ubadhirifu wa escrow watakufa kama ambavyo watz wamepoteza maisha kwa kukosa dawa,ataanza jk na saratani then watafuata wengine,tusubir mda utafika na vyote wataviacha hapa duniani,dhambi ya watz haitawaacha kamwe


Ameeeeen
 
Umenikumbusha walimu wangu aisee daah....Riz alimaliza mwaka gani?

yule alimaliza kati ya 92 au 93.....kuna siku mwalimu julius alimchapaa nusura ajikojoleeee....safi sana mwlm jj
 
Si ni mmoja kati wa waliobeba hela na rambo? N ailisemekana zilikuwa zinahamishiwa Australi? Si unakumbua issue ya mtu kukamatwa na mihella Airport? Si unakumbuka tena wadau hapa wakasema alikimbilia UK baada ya hapo? Sasa oneni hali hii. Je kuna kuwajibika? Hakuna kitu kama hicho. Na marwa ni kati ya wale walichukulia hela Stanbic!!
 
Mi nadhani jambo lililobaki hapa stanbic bank warudishe fedha zetu au nao wafilisiwe. Hatu wezi kukabali institution inayosimamiwa na bank kuu yetu uwe mtambo wa kutakatisha fedha.
 
Mi nadhani jambo lililobaki hapa stanbic bank warudishe fedha zetu au nao wafilisiwe. Hatu wezi kukabali institution inayosimamiwa na bank kuu yetu uwe mtambo wa kutakatisha fedha.
Hewala umenena Pozzollana
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona kama mnang'ang'aniza tu na familia ya rais iwemo kwenye hii scandal??? Waliomo si mliwasikia kina kilaini na wengine?

Kuhusu Albert marwa ni mtoto wa mkuu wa majeshi wa zamani Mzee Mwita Marwa,alimuona salama kikwete dadake riz wanaezaliwa kwa mama mmoja,mama yao alifariki siku nyingi,ili kumuoa salama na kwa taarifa tu Albert ni muislam siku nyingi alibadili dini kabla ya kumuoa salama,walijuana na salama akiwa tayari muislam tena swala tano tofauti na kina riz,
Kwa nini JK alikataa kufunda ndoa hiyo??
Zipo kumbukumbu za ndoa ya Riziwani , kwa nini hakuna kumbukumbu za ndoa ya Salama wakati wote ni watoto wa JK????
 
Kwa nini JK alikataa kufunda ndoa hiyo??
Zipo kumbukumbu za ndoa ya Riziwani , kwa nini hakuna kumbukumbu za ndoa ya Salama wakati wote ni watoto wa JK????

Mkuu hakumtaka kabisa huyu mkwe na inasemekana alisilimu tu ili ampate salama na aweze kupenyeza ufisadi clean. Kwa vetting Marwa chali. Ndiyo maana hutakaa usikie kabisa harusi ya Marwa na Salama na kama ilifungwa basi ni kwa siri kubwa tu ili kuepuka fedheha. After all age wise Marwa ni mzee na haieleweki alimpataje huyo Salama. Kuna baadhi ya watu wanasema, sina hakika, kuwa Marwa alitumia pia uchawi kumpata Salama kwa kuwa kwa hali yoyote ile yule binti asingemkubali hata kama angekuwa na hela kiasi gani. Imagine hata katika social networks hukuwahi kumwona Salama ampepost picha ya mume na watoto/mtoto!!!! So mahusiano hayo yaligubikwa na sintofahamu kubwa ila wajuzi wa mambo walishaeleza hapa kuwa jamaa alitaka kuingia pale ili kutakatisha deal zake na ndiye aliyeichafua first family. Ninaamini usalama wa Taifa unapitia humu hivyo ni vema suala hili walichukulie kwa sura nyingine kabisa.
 
mbona hamuulizi profile yake?

Alizaliwa wapi?
kasomea wapi?
alienda JKT wapi?
kazi kafanya wapi?
kaoa mara ngapi?
ana biashara zipi?
makampuni yake ni yepi?
pesa alianza kuzipata lini?
kwa njia zipi?
ana watoto wangapi?
anaishi wapi?
wazazi wake ni akina nani?
ukoo upi? familia ipi?
anahusikaje wizara ya fedha?
inakuwaje kule china anaigiaje?
au connection yake china iko?
je anawatunza watoto wake wengine?
na anawake wangapi?
akini swali kubwa zaidi....Je ana security Clarence na hawa jamaa hapa chini?


attachment.php




Huyu SI MTANZANIA wa kulaziwa wala wa wazazi...lakini mtanzania PLASTIC wa kupewa.

inasemekana ni yatima hana baba wala mama ila aliokotwa huko Uganda na mmoja wa wakuu wa majeshi na kuletwa Tanzania

Nadhani alioa kama mara 3 hizi na mabinti aliooa ni watoto wa wakubwa ndio maana watu wanadai ameoa kwa ajili ya line

Shule aliyooenda haijuilikani

JKT haijulikani kama pia alikwenda

Ndio ofisi zake zilikuwa mtaa wa samora pale juu ya SAPNA na zamani nadhani India walikuwa wanatoa viza pale...just opposite SALAMANDA

connection yake ilikuwa ni kufanya biashara ya ulanguzi wa mafuta kwenda Rwanda, Congo na burundi miaka ya 90 na lile dula la duty free la jeshi (jina limentoka).

alikuwa anaingiza mafuta na kudai yanenda cross country tax free kumbe baadae wanayarudisha Dar kuuza kwa bei ya juu zaidi

Ofisi yake alikuwepo Ippy Malecela, Omari Kimbau, MAO Mwaura (sie tulikuwa tunamjua kama MAO Flex), Abdul Msomali (japo marehem alikuwa na pesa zaidi kwa madili yake ya unga kule Zambia na akina marehem AKASHA ) Chale Mtawali (enzi zile chale dada yake alikuwa mkurugenzi Immigration), Kinje na yule KIM KIMBANGAMBAGA (kiboko ya wanawake wa mjini kama kina Dr MWELE MALECELA, MANGE KIMAMBI etc), na watoto wengine wa wakubwa.

Salama sijui kamtoa wapi lakini kwa wanaomjua huyo dada unaambiwa hata haieleweki alimkubali vipi huyu jamaaa

Ndoa yake haikukubalika na Professa kwa sababu ya historia yake ya kuwalaghai watoto wengine wa wakubwa aliokuwa nao. Jamaa alikuwa kama MARIO fulani kwanza kama sikosei alioa GENERAL STWEWART MANGENYA ambaye ana uhusiano wa kifamilia na akina BOMANI (old money)...Kama sijakosea alikuwa anatoka na RITA MLAKI wa enzi hizo alipokuwa na saloon (VASANDRA) pale juu SAMORA.



Huyu inasemekana alisilimu ili kupata ukaribu zaidi na mama salma, na pia ndiye moja ya waanzilishi wa redio mmoja ya kiislam hapa Dar

Connections zake china ndio zinatisha zaidi kwa sababu anatajwa kuhusika kwenye kashfa za UPANUZI WA BANDARI, BOMBA LA GESI LA MTWARA ambazo amekula si chini ya dola milioni 300 peke yake na bila kusahau kashfa zingine kama hii ya escrow

Pamoja na yote haya huyu jamaa HAJAKUBALIKA kwenye familia na wala kwa watu walio karibu na familia....kwa kuongeza tuu ni kuwa yule Myemen ambaye simpendi wa homeshopping centre (SALAAH WA GUANGZJOU) anakubalika zaidi kwenye familia

Watu wa kitengo wa Usalama nao hawawezi kumfanya kitu kwa sababu ya hizo connections zake (lakini sina hakika kama huwa anarudi kwao UGANDA) au inawezekana ikawa familia yake ni ya KINYARWANDA , hilo hatulijui lakini ndio hivyo

Watu wake wa karibu wanasema kuwa huyu jamaa ni mtu poa lakini ARROGANT kwa sababu kazungukwa na wajinga wajinga wengi ambao wanamtia ujinga so in essence he's not that smart kwenye kuficha huo mkono wake kwenye madili


Pia wafanyakazi wa wizara ya fedha pia hawampeni kwa sababu safari za kuserikali huwa anaongozana nao kutokana na instructions toka JUU kuwa wakifika Beijing kupiga hayo madili na EXIM BANK lazima LABERT awepo japo shule na elimu yake ndogo.

Mawaziri nao wanamgopa sana kwa sababu ya connection yake na familia ya JK.

Miradi yake mingi ni hiyo ya kuunganisha unganisha ya real estate....na inaendana na hao washauri wake ambao nao pia ni watu wa kunganisha unganisha tuuu

rough estimate ni kuwa huyu Albert ana Net worth $500 million.

Philemeon Michael anamjua sana huyu jamaa.

Huyu jamaa mimi simchukii naomwona kama vile akina Juma Pinto, lakini huyu badala ya blah blah ameunganisha damu...hivyo ukinuliza simchukii bali naona ni mtu aliyepata nafasi na kaitumia vilivyo. Ningepata mimi ningekuwa ni BILIONEA na sio hivyo vijisenti na nisingeandikwa humu JF (hii ni another weakness ya kuwa na washauri wabovu wenye njaa, wasio na influence wala network)

Huyu jamaaa amekuwa kama mbuyu wenzake wanaendela na maisha ya hapa na pale huyu yeye anaongea na rais wa china, na kama u mario bas huyu kafuzu kwa sababu ukiangalia wenzake akina OMARI KIMBAU, IDDI JANGUO, JUMA PINTO, CHALE MUTAWALI, na wengineo yeye huyu aliamua kutumia ile formula ya FREEMAN MBOWE kuoa alipomwoa mtoto wa GAVANA EDWIN MTEI.

Dont hate the playa, hate the game
 
Yericko Nyerere 21:19 30th May 2014


Professor Muhongo anaumwa ugonjwa unaitwa grandiosity.

Grandiosity-refers to an unrealistic sense of superiority - a sustained view of oneself as better than others that causes the narcissist to view others with disdain or as inferior - as well as to a sense of uniqueness: the belief that few others have anything in common with oneself and that one can only be understood by a few or very special people.

Muhongo!!!!!!!!!!!!!

Msomi wa hovyo kuwahi kutokea hapa nchini. Bado tunayo safari ndefu sana, kama anaamua kusema UONGO kwamba kesi ya IPTL na Tanesco imekwisha wakati mwezi huu (tano) wametangaza mawakili wao wapya watakao wawakilisha huko mahakama ya ISCID baada ya kumpiga chini mkono,

Mawakili hawa wamepewa tenda hiyo kwa dau lenye thamani ya 56 bilioni na jumatatu wanaweza kulipwa malipo ya awali ya kazi hiyo.
Soma taarifa hii ya serikali kuonyesha kuwa kesi haijaisha (imekatiwa rufaa)


By Gov:
Huduma ya Mawakili wa TANESCO na Serikali
Kwa kuwa Wakili wa TANESCO (Mkono & Co Advocates) hakuwa na lengo la kulinda maslahi ya Serikali na TANESCO, ni vema kuzingatia yafuatayo:-

i. Serikali na TANESCO wasiendelee kuwakilishwa na huyo aliyekuwa Wakili wao (Mkono & Co Advocates);

ii.TANESCO waanze taratibu za kumpata Wakili Mwingine mwenye uwezo na weledi wa kutosha ambaye ataitetea TANESCO katika shauri lilopo kwa kulinda maslahi ya Serikali na TANESCO;

iii.Taratibu za kumpata Wakili mwingine ziharakishwe ili kuhakikisha kwamba Wakili mpya anaanza kazi mara moja;

iv. Serikali na TANESCO washiriki kikamilifu katika shauri hili ili kuhakikisha kwamba linaendeshwa kwa ufanisi utakaoleta lengo linalokusudiwa ili Taifa lisiingie hasara.

Soma zaidi hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mawakili-wa-tanesco-na-akaunti-ya-escrow.html.
Kisha nakufunilia ukweli wa Singasinga wanaemtumia ccm kuliibia taifa hili 200 bilioni.


Suala la Wizi wa fedha Tsh321Bils ni hatari kwa Taifa yapo mambo ya msingi kama ifuatavyo:


1.Singh Setth wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia

3.Singh Sett wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia

3.Singh Sett wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma

4.Singh Sett alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU

5.Singh Sett ametajwa kushirikinana Ridhiwani Kikwete na Albert Marwa ambae ndungu wa familia ya JK (mkwe) na kusababisha wizi wa Tshs321Bls

6.Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serous Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.

7.Leo UKAWA wapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe.

Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake (serikali ya ccm).

Serious Fraut wapo hapa na kila kitu kinafahamika

8.Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.

CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
 
Wakuu nilipata taarifa kuwa jamaa aliishia form 2, kule Singida wakati Mzee Marwa ni mkuu wa Mkoa. Jamaa ali drop off from school na kuanza vijibiashara. Niliwahi kusikia kwamba aliwahi kwenda Uganda kusalimia ndugu na jamaa. All in all kijana inaelekea ni mtu hatari sana kwa madili makubwa. He is as sly and cunning as a fox. Mganda kuweza kujipenyeza mpaka ikulu, na panakuwa kama nyumbani kwake, wakati sisi wazaramo enzi na enzi tunapaheshimu na kupaogopa, hii ni hari kwelikweli.
 
Kwanza albert marwa si mtanzania.historia inaonyesha aliokotwa na bri gen marwa uganda kwenye vita vya kagera na kumtunza kama mtoto wa hiari.halafu leo anatusumbua na pesa zetu
Labda Vita za Machifu
Lakini vita za kisasa za kutumia Kombania na Platuni
ni vigumu kumuokota Mtoto au kumchukua Mwanamke na kumuAsili kwa njia yeyote
Mwita Marwa ni rijali na alikuwa na Watoto
Hapa tukubali Dili limeitika na tumuombe maisha mazuri huyo Kijana
mbona watoto wa Mkapa hmuwaweki na Benki zao za kina ANABEN
au watoto wa akina Sitti Mwinyi
kuna watoto wa akina Kingunge (Kinjekitile)
kuna wa akina Malecele na hata wa Anna Kilango

Du Wivu jamani ni kiboko tungesubiri wanaojiuzulu ili wapande na wengine hapo nao wale
km watoto wa Nyerere hawakuwahi ni basi tena wasubiri kugombea km kina Uhuru 'maana No way'
 
Wakuu nilipata taarifa kuwa jamaa aliishia form 2, kule Singida wakati Mzee Marwa ni mkuu wa Mkoa. Jamaa ali drop off from school na kuanza vijibiashara. Niliwahi kusikia kwamba aliwahi kwenda Uganda kusalimia ndugu na jamaa. All in all kijana inaelekea ni mtu hatari sana kwa madili makubwa. He is as sly and cunning as a fox. Mganda kuweza kujipenyeza mpaka ikulu, na panakuwa kama nyumbani kwake, wakati sisi wazaramo enzi na enzi tunapaheshimu na kupaogopa, hii ni hari kwelikweli.

hiyo list aliyokuwa nao zamani ni balaaa...abdul msomali, mao etc
 
yericko nyerere 21:19 30th may 2014


professor muhongo anaumwa ugonjwa unaitwa grandiosity.

Grandiosity-refers to an unrealistic sense of superiority - a sustained view of oneself as better than others that causes the narcissist to view others with disdain or as inferior - as well as to a sense of uniqueness: The belief that few others have anything in common with oneself and that one can only be understood by a few or very special people.

Muhongo!!!!!!!!!!!!!

Msomi wa hovyo kuwahi kutokea hapa nchini. Bado tunayo safari ndefu sana, kama anaamua kusema uongo kwamba kesi ya iptl na tanesco imekwisha wakati mwezi huu (tano) wametangaza mawakili wao wapya watakao wawakilisha huko mahakama ya iscid baada ya kumpiga chini mkono,

mawakili hawa wamepewa tenda hiyo kwa dau lenye thamani ya 56 bilioni na jumatatu wanaweza kulipwa malipo ya awali ya kazi hiyo.
Soma taarifa hii ya serikali kuonyesha kuwa kesi haijaisha (imekatiwa rufaa)


by gov:
Huduma ya mawakili wa tanesco na serikali
kwa kuwa wakili wa tanesco (mkono & co advocates) hakuwa na lengo la kulinda maslahi ya serikali na tanesco, ni vema kuzingatia yafuatayo:-

i. Serikali na tanesco wasiendelee kuwakilishwa na huyo aliyekuwa wakili wao (mkono & co advocates);

ii.tanesco waanze taratibu za kumpata wakili mwingine mwenye uwezo na weledi wa kutosha ambaye ataitetea tanesco katika shauri lilopo kwa kulinda maslahi ya serikali na tanesco;

iii.taratibu za kumpata wakili mwingine ziharakishwe ili kuhakikisha kwamba wakili mpya anaanza kazi mara moja;

iv. Serikali na tanesco washiriki kikamilifu katika shauri hili ili kuhakikisha kwamba linaendeshwa kwa ufanisi utakaoleta lengo linalokusudiwa ili taifa lisiingie hasara.

Soma zaidi hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mawakili-wa-tanesco-na-akaunti-ya-escrow.html.
Kisha nakufunilia ukweli wa singasinga wanaemtumia ccm kuliibia taifa hili 200 bilioni.


Suala la wizi wa fedha tsh321bils ni hatari kwa taifa yapo mambo ya msingi kama ifuatavyo:


1.singh setth wa pap amesajiliwa kenya kama raia wa afrika kusini mwenye asili ya asia

3.singh sett wa pap amesajiliwa afrika kusini kama raia wa kenya mwenye asili ya asia

3.singh sett wa pap amesajiliwa tanzania kama raia wa tanazani mzaliwa wa ruvuma

4.singh sett alishirikiana na geodion moi mtoto wa rais mio kwa wizi wa us$600million na kuangusha serikali ya kanu

5.singh sett ametajwa kushirikinana ridhiwani kikwete na albert marwa ambae ndungu wa familia ya jk (mkwe) na kusababisha wizi wa tshs321bls

6.mwanamke mbunge wa uk alipambana sana kwenye bunge la uk wakati wa wizi wa fedha za rada ulifanyika na baye na hatimaye fedha zikarudi tanzania. Serous fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina chenge na wizi ule lakini ccm ikawalinda.

7.leo ukawa wapewa document ya ukweli juu ya wizi wa akina werema na wametoka nje kushinikiza akina eliakimu maswi wakamatwe.

Ukweli ni kwamba benki ya standard chater ya uk imetapeliwa zaidi ya tsh1770bls na singh sett na wenzake (serikali ya ccm).

Serious fraut wapo hapa na kila kitu kinafahamika

8.kumufukuza balozi wa uk ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa kinyesi.

Ccm na watawala wachague kuwatetea watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
yerico hii kitu wewe ndo umelipua hapa hebu lete majina ya stanbic tuamalize kabisa !!
 
mkuu hakumtaka kabisa huyu mkwe na inasemekana alisilimu tu ili ampate salama na aweze kupenyeza ufisadi clean. Kwa vetting marwa chali. Ndiyo maana hutakaa usikie kabisa harusi ya marwa na salama na kama ilifungwa basi ni kwa siri kubwa tu ili kuepuka fedheha. After all age wise marwa ni mzee na haieleweki alimpataje huyo salama. Kuna baadhi ya watu wanasema, sina hakika, kuwa marwa alitumia pia uchawi kumpata salama kwa kuwa kwa hali yoyote ile yule binti asingemkubali hata kama angekuwa na hela kiasi gani. Imagine hata katika social networks hukuwahi kumwona salama ampepost picha ya mume na watoto/mtoto!!!! So mahusiano hayo yaligubikwa na sintofahamu kubwa ila wajuzi wa mambo walishaeleza hapa kuwa jamaa alitaka kuingia pale ili kutakatisha deal zake na ndiye aliyeichafua first family. Ninaamini usalama wa taifa unapitia humu hivyo ni vema suala hili walichukulie kwa sura nyingine kabisa.
inatisha!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu nilipata taarifa kuwa jamaa aliishia form 2, kule Singida wakati Mzee Marwa ni mkuu wa Mkoa. Jamaa ali drop off from school na kuanza vijibiashara. Niliwahi kusikia kwamba aliwahi kwenda Uganda kusalimia ndugu na jamaa. All in all kijana inaelekea ni mtu hatari sana kwa madili makubwa. He is as sly and cunning as a fox. Mganda kuweza kujipenyeza mpaka ikulu, na panakuwa kama nyumbani kwake, wakati sisi wazaramo enzi na enzi tunapaheshimu na kupaogopa, hii ni hari kwelikweli.


Unajua siku hizi mimi hawa akina Kim, pinto, freeman na huyu Albert hata siwaonei wivu. hawa ni ma hustlers wamepata mwanya wanautumia

why hate them?
 
Back
Top Bottom