Hali ya barabara ya Stendi ya Magufuli - Mpigi Magohe - Bunju ni mbaya sana. Wizara ya Ujenzi, Mbunge wa Kibamba na na TANROADS, shida ipo wapi?

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,065
5,393
KWENU WIZARA YA UJENZI, TANROAD NA TARURA pamoja na Mbunge wa Kibamba

Awali ya yote niwashukuru kwa siku za nyuma kwa namna mlikua mnaisimamia barabara hii kwa ukarabati wa mara kwa mara. Kwa sasa hali ya barabara hii ni mbaya sana kutoka Mpiji magohe CCM hadi mbezi ni 10KM tu lakini kwa gari unatumia saa nzima (yaani dakika 60 hadi 75). wakati hali ya kawaida ni dakika 10 hadi 15.

Hali ipo hivyo kutoka chama (MPIJI CCM) hadi Bunju B ambapo ni 11.8km, MPIJI chama kwenda Njia panda GOBA via MAKABE ambapo ni 7.8KM unatumia dakika 45. na kupitia KIbamba 8.2Km unatumia dakika 35.

shida ipo wapi
  1. Barabara hii imesahaulika kwenye matengenezo ya mara kwa mara na yanapofanyika hayafanyiki katika kiwango kilichokuwa kinafanyika huko nyuma hivyo mvua mja tu barabara haipitiki.
  2. Barabara hii imezidiwa magari ikilinganishwa na siku za nyuma. magari ni mengi sana kutokana na wakazi wengi kuhamia huko baada ya stand mpya ya magufuli kufunguliwa lakini pia ndio njia ya shortcut kwenye bagamoyo na mikoa ya kaskazini kwa sasa. lakini pia watu waendao Mloganzira hutumia njia hii kwa sababu ni fupi kulinganisha na kuzunguka Tegeta ay Masana kuja mbezi au mloganzira.
  3. Barabara hii ipo kwenye barabara za mzunguko (Ring Road) hivyo kukamilika kwa njia ya Kinyerezi Mbezi kumeongeza magari mengi kwenye njia hiyo ikiwa ni pamoja na magazi makubwa ya mchanga ambayo nayo yanachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa barabara hii hasa mvua zinaponyesha.
  4. ndio njia kubwa na yenye watu na magari mengi iliyobakia katika Jiji la Dar esSalaam
Suluhisho ni ujenzi wa njia ya Lami kwa sababu

  1. Kwa kuwa njia ilikua kwenye mpango wa kuboresha njia za mzunguko (ring Road) na ilifahamika baada ya njia ya kinyerezi kukamilika itafuta njia ya Mbezi - Mpiji -Bunju, basi mpango huo ufanyike sasa ili kuokoa fedha nyingi zinazotumiwa kufanya marekebisho ya mara kwa mara na yasiyo na tija kwani barabara hutumia muda mfupi kuharibika tena.
  2. Barabara hii ni Muhimu sana kwa mabus yote yaendayo Mikoa ya Kaskazini kupitia Bagamoyo kwani inapunguza zaidi ya 14km pamoja na foleni zinazojitokeza Massana, Mbuyuni, Tegeta, na maeneo mengine lakini pia kupunguza matumizi ya mafuta yasiyo ya lazima. Hii itasiaidia pia mabus yenye terminal nje ya stand ya Magufuli kupata urahisi kupita stand ya Magufuli na kisha kuelekea yanapoishia.
  3. Kama tunavyofahamu Hospitali ya Mloganzira ni muhimu katika kuokoa maisha ya wagonjwa wanapowa rufaa kutoka maeneo mbali mbali mikoa ya kaskazini. ni ukweli usiopingika barabara ya morogoro inafoleni kubwa sana kwa sasa hivyo barabara hii kuwekwa lami kutapunguza matumizi ya morogoro Road hasa kwa magari ya wagonjwa na hata magari mengi yaendayo mikoa ya kasakazini.
  4. Mpiji Kwa ujumpla wake na Mabwepande ni miji inayokuwa kwa kasi na idadi kubwa ya wakazi hivyo kutokujengwa kwa barabara hii mapema kunaweza kupelekea ongezeko la vifo vitokanavyo na kushindwa kufika kwenye huduma za afya kwa wakati kutokana na ubovu wa barabara.
  5. Kwenye eneo husika kuna taasisi nyingi huko mpiji shule nyingi za msingi na secondary, vyuo, vituo vya afya, Hospitali ya wilaya ya kinondoni iliyopo Mabwepande n.k vyote hivi vinaweza visiwasaidie wananchi kwa maana ya ubovu wa barabara unachangia kushindwa kutumia huduma hizo, hivyo ijengwe kwa lami

Nini kimeshafanyika/Kifanyike

  1. Barabara ya Mbezi Mpiji - Bunju iliwahi kufanyiwa upembuzi yakinifu na details design tangu 2020/2021 lakini baada ya hapo hakuna kinachoendelea hivyo Tunamtaka waziri na Mkurugenzi wa Tanroad atoe Ufafanuzi.
  2. Kwa kuwa barabra hii ipo kwenye mradi wa barabara za mzunguko na tuliambiwa ikikamilika barabara ya mbezi Kinyerezi ingefuata njia ya Mpiji hadi Bunju. Tunataka maelezo ni kwa nini serikali, Wizara, TANROAD, na MKOA hawataki kujenga barabara hii wananchi tunataka maelezo lini itajengwa maana taratibu zote za awali zimekamilika tangu 2020/2021.
  3. Tunawataka viongozi wa TANROAD, TARURA, MKUU wa MKOA MBUNGU waje kufanya mkutano na wananchi kuwaeleza ni kwa nini hatua za ujenzi wa barabara hii hauchukuliwi.
  4. kama 3 hapo juu lisipofanyika Tunatarajia kufanya kikao cha pamoja wanampiji na tutafanya maamuzi ya nini tufanye ikiwa pamoja na maandamano ya amani ili kufikisha ujumbe kwa mamlaka za juu zaidi.
  5. Mbunge usije kuongea na wananchi kama barabara hii haitawekwa kwenye mpango wa ujenzi kwenye budget ya mwakani. 2024/2025. Aidha tunatambua serikali imeshaanza mchakato wa budget ya mwakani hivyo fanya ufanyalo barabara hii ingie kwenye mpango. Vinginevyo wewe na chama chako mtahukumiwa kwa kuendelea kuwadanya maana ilikua na ahadi wakati wa uchaguzi 2020.
Mwakilishi wa wanampiji

Pia soma hapa
- DOKEZO - Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

- Ujenzi barabara za Dar es salaam umebaki kiini macho majimbp ya CCM kupokonywa na upinzani
 
Kuna jengo la serikali linajengwa pale karibu na petro station karibu kabisa na kwa Masawe. Nadhani ni ofisi za Atomic. Lile ni jengo la serikali na magari ya serikali yatahusika sana. Nayahurumia sana magari ya serikali. Pale write off itakuwa si miaka 5 bali miwili. 😂
 
Hii barabara ni muhimu sana... ingeweza kupunguza pressure sana kwenye njia ya Tegeta Goba Mbezi....
 
Wanajenga kwanza barabara za kigamboni.... kuanzia cheka - kimbiji - buyuni ,ije kukutana na mwasonga.
 
Hizi barabara zote zilikuwepo kwenye mradi wa Bank ya Dunia ya kuboresha barabara za majiji. Hivyo kwa nini zisiende zote kwa pamoja?
 
KWENU WIZARA YA UJENZI, TANROAD NA TARURA pamoja na Mbunge wa Kibamba

Awali ya yote niwashukuru kwa siku za nyuma kwa namna mlikua mnaisimamia barabara hii kwa ukarabati wa mara kwa mara. Kwa sasa hali ya barabara hii ni mbaya sana kutoka Mpiji magohe CCM hadi mbezi ni 10KM tu lakini kwa gari unatumia saa nzima (yaani dakika 60 hadi 75). wakati hali ya kawaida ni dakika 10 hadi 15.

Hali ipo hivyo kutoka chama (MPIJI CCM) hadi Bunju B ambapo ni 11.8km, MPIJI chama kwenda Njia panda GOBA via MAKABE ambapo ni 7.8KM unatumia dakika 45. na kupitia KIbamba 8.2Km unatumia dakika 35.

shida ipo wapi
  1. Barabara hii imesahaulika kwenye matengenezo ya mara kwa mara na yanapofanyika hayafanyiki katika kiwango kilichokuwa kinafanyika huko nyuma hivyo mvua mja tu barabara haipitiki.
  2. Barabara hii imezidiwa magari ikilinganishwa na siku za nyuma. magari ni mengi sana kutokana na wakazi wengi kuhamia huko baada ya stand mpya ya magufuli kufunguliwa lakini pia ndio njia ya shortcut kwenye bagamoyo na mikoa ya kaskazini kwa sasa. lakini pia watu waendao Mloganzira hutumia njia hii kwa sababu ni fupi kulinganisha na kuzunguka Tegeta ay Masana kuja mbezi au mloganzira.
  3. Barabara hii ipo kwenye barabara za mzunguko (Ring Road) hivyo kukamilika kwa njia ya Kinyerezi Mbezi kumeongeza magari mengi kwenye njia hiyo ikiwa ni pamoja na magazi makubwa ya mchanga ambayo nayo yanachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa barabara hii hasa mvua zinaponyesha.
  4. ndio njia kubwa na yenye watu na magari mengi iliyobakia katika Jiji la Dar esSalaam
Suluhisho ni ujenzi wa njia ya Lami kwa sababu

  1. Kwa kuwa njia ilikua kwenye mpango wa kuboresha njia za mzunguko (ring Road) na ilifahamika baada ya njia ya kinyerezi kukamilika itafuta njia ya Mbezi - Mpiji -Bunju, basi mpango huo ufanyike sasa ili kuokoa fedha nyingi zinazotumiwa kufanya marekebisho ya mara kwa mara na yasiyo na tija kwani barabara hutumia muda mfupi kuharibika tena.
  2. Barabara hii ni Muhimu sana kwa mabus yote yaendayo Mikoa ya Kaskazini kupitia Bagamoyo kwani inapunguza zaidi ya 14km pamoja na foleni zinazojitokeza Massana, Mbuyuni, Tegeta, na maeneo mengine lakini pia kupunguza matumizi ya mafuta yasiyo ya lazima. Hii itasiaidia pia mabus yenye terminal nje ya stand ya Magufuli kupata urahisi kupita stand ya Magufuli na kisha kuelekea yanapoishia.
  3. Kama tunavyofahamu Hospitali ya Mloganzira ni muhimu katika kuokoa maisha ya wagonjwa wanapowa rufaa kutoka maeneo mbali mbali mikoa ya kaskazini. ni ukweli usiopingika barabara ya morogoro inafoleni kubwa sana kwa sasa hivyo barabara hii kuwekwa lami kutapunguza matumizi ya morogoro Road hasa kwa magari ya wagonjwa na hata magari mengi yaendayo mikoa ya kasakazini.
  4. Mpiji Kwa ujumpla wake na Mabwepande ni miji inayokuwa kwa kasi na idadi kubwa ya wakazi hivyo kutokujengwa kwa barabara hii mapema kunaweza kupelekea ongezeko la vifo vitokanavyo na kushindwa kufika kwenye huduma za afya kwa wakati kutokana na ubovu wa barabara.
  5. Kwenye eneo husika kuna taasisi nyingi huko mpiji shule nyingi za msingi na secondary, vyuo, vituo vya afya, Hospitali ya wilaya ya kinondoni iliyopo Mabwepande n.k vyote hivi vinaweza visiwasaidie wananchi kwa maana ya ubovu wa barabara unachangia kushindwa kutumia huduma hizo, hivyo ijengwe kwa lami

Nini kimeshafanyika/Kifanyike

  1. Barabara ya Mbezi Mpiji - Bunju iliwahi kufanyiwa upembuzi yakinifu na details design tangu 2020/2021 lakini baada ya hapo hakuna kinachoendelea hivyo Tunamtaka waziri na Mkurugenzi wa Tanroad atoe Ufafanuzi.
  2. Kwa kuwa barabra hii ipo kwenye mradi wa barabara za mzunguko na tuliambiwa ikikamilika barabara ya mbezi Kinyerezi ingefuata njia ya Mpiji hadi Bunju. Tunataka maelezo ni kwa nini serikali, Wizara, TANROAD, na MKOA hawataki kujenga barabara hii wananchi tunataka maelezo lini itajengwa maana taratibu zote za awali zimekamilika tangu 2020/2021.
  3. Tunawataka viongozi wa TANROAD, TARURA, MKUU wa MKOA MBUNGU waje kufanya mkutano na wananchi kuwaeleza ni kwa nini hatua za ujenzi wa barabara hii hauchukuliwi.
  4. kama 3 hapo juu lisipofanyika Tunatarajia kufanya kikao cha pamoja wanampiji na tutafanya maamuzi ya nini tufanye ikiwa pamoja na maandamano ya amani ili kufikisha ujumbe kwa mamlaka za juu zaidi.
  5. Mbunge usije kuongea na wananchi kama barabara hii haitawekwa kwenye mpango wa ujenzi kwenye budget ya mwakani. 2024/2025. Aidha tunatambua serikali imeshaanza mchakato wa budget ya mwakani hivyo fanya ufanyalo barabara hii ingie kwenye mpango. Vinginevyo wewe na chama chako mtahukumiwa kwa kuendelea kuwadanya maana ilikua na ahadi wakati wa uchaguzi 2020.
Mwakilishi wa wanampiji

Pia soma hapa
- DOKEZO - Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

- Ujenzi barabara za Dar es salaam umebaki kiini macho majimbp ya CCM kupokonywa na upinzani
Kwa shida za Dar kuna umuhimu wa kuunda wizara maalum ya kushughulika na Dar au Majiji peke yake! Changamoto za barabara kwa Dar siyo kidogo!
 
Mbunge hahusiki hapo. Uliza wizara tu
 
Back
Top Bottom