wizara ya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu. Tumechoshwa na ahadi zisizotekelezeka

    YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini. Kwa kipindi cha miezi saba (7) sasa, hatujalipwa...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Nape atishia kutoiunga mkono bajeti Wizara ya Ujenzi kisa barabara ya Kusini

    Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2026/27: TZS 376 BILIONI HAZINA MAELEZO

    Leo Waziri wa Ujenzi ameliomba Bunge kupitisha TZS 2.564 trilioni kwa mwaka 2026/27. Lakini kabla Bunge halijapitisha, kuna tatizo moja la msingi linalohitaji ufafanuzi: 📍 Mei 2025, Wizara ililiomba Bunge kupitisha TZS 2.280 trilioni kwa mwaka 2025/26. 📍 Mei 2026 (leo), Wizara inasema bajeti...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi Yaomba Bajeti Ya Shilingi Trilioni 2.564 Mwaka Wa Fedha 2026/2027

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Jumatano tarehe 20 Mei, 2026 , ambapo Wizara hiyo imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 2,564,441,414,000 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na utekelezaji wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi yaomba Trilioni 2.5 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2026/27 ya Wizara ya Ujenzi leo, tarehe 20 Mei 2026, amesema kuwa jumla ya Tsh 2,564,441,414,000 zinahitajika ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya wizara...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Afya & TANROADS, ingilieni kati hali ya vumbi jiji la Mbeya kabla haijageuka janga la afya ya umma

    1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa. 2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Miradi yote ya Ujenzi iwe chini ya Wizara ya Ujenzi

    Kitu Gani kinafanya wizara ya UJENZI isihusike na miradi YOTE ya UJENZI ya serikali? Bali imejikita kwenye Ujenzi wa barabara kuu na baadhi ya majengo au wizara zingine zinatumia miradi ya ujenzi kama chaka la kuiba pesa za umma hasa wizara ya TAMISEMI, TBA tasisi ambayo iko chini ya wizara ya...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi, tangu tufanyiwe tathmini ya majengo Ujiji hatujalipwa pesa zetu

    Habari za Leo viongozi humu ndani hii ni barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi mimi ni mkazi wa Kigoma ujiji mwaka 2022 selekali kupitia TANROADS Kigoma walifanya vikao kadhaa na wananchi wa kata za majengo na machinjioni wakatoa wito kwa wananchi hao kupisha mradi wa upanuzi wa uwanja wa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yapitisha Randama ya Bajeti Wizara ya Ujenzi 2026/2027, yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi sasa ni mufilisi? Ati milioni 10 zatengwa ili kumaliza foleni Dar!

    Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka. Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi. Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi. Yote tisa, kumi ni hii...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Wizara ya Ujenzi: Wanaosafirisha mizigo mikubwa waache kutumia vishoka kuomba vibali, wanakwamisha kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Ulenga amewasili Mkoani Ruvuma, Desemba 20, 2025 kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) amewasili Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed leo tarehe 20 Disemba, 2025. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega atatembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Kitai - Amani...
  13. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi wakagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa Songoro Mwanza

    Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde kwa nyakati tofauti wamefika katika Yadi ya Songoro Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa. Katika ziara hiyo...
  14. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Serikali yazindua mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Akizungumza...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM Makandarasi wazawa kicheko Miji 200 kumulikwa taa Usumbufu kwenye mizani wapata dawa Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza

    Waziri wa Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amesema serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza, mkoani Pwani, ambao walikuwa kwenye zamu kwa kosa la kadhia iliyojitokeza hivi karibuni ikihusisha gari ya mizigo pamoja na mama mmoja aliyejitambulisha kwa...
  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega hebu acha mikwara, mimi niliwashauri mapema ila wizara yako ikanipuuza

    Niaje waungwana Mheshimiwa waziri Abdallah Ulega juzi kati alituacha na mshangao mkubwa watanzania, kwa kujifanya anawapiga mkwara mzito wachina wanaojenga barabara zetu za mabasi ya BRT. Kwa mtu ambae ndio kwanza anafuatilia mambo hayo ya ujenzi wa barabara za BRT, anaweza kumuona waziri...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega kaanza makeke ya kujihakikisha nafasi 2025, sasa hivi ni kushinda site kama trekta!

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa utekelezaji wake. Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya uboreshaji na ujenzi wa miundombinu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jengo la Wizara ya Ujenzi Lafikia Asilimia 80, Waziri Ulega Aagiza Likamilike kwa Wakati

    JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
Back
Top Bottom