his excellency, si unajua tena mahaba niue...! hahahaaa!
Kweli mahabah yamemjaa miss neddy kwa King Excel
Mimi na dada yng mwallu na shostito tian Karucee charminglady yetu macho tu!
ahaaa!! siku hizi mnaombeana huku mnasikiliza nyimbo za taarabu na bongo fleva eenh!!!?
hivi angel ushawahi kuniona katika hali ya kukasirika?... sasa....
koma we, ninyi ndo mnampoteza Angelicious... wewe mara Daudi1 mara uran!
sasa tukueleweje!? uran kakunyima nini?
hahahahahahahahahaha Excel huyo hajui kutunza mume achana nae mume akikosea hasonywi bali wampa kiss maridadi na kumsomea mashtaka yake
Mkuu siwezi kumkabidhi bazazi binti kama huyo!!
Loh!!!! Afadhali nimpate mwenzangu wa kusaidiana majukumu mana nalemewa karibu mke mwenzangu ila nikupe tahadhari mpenzi wetu huyu kwanza ana hasira za karibu halafu habembelezeki, hivi toka juzi kaninyima haki yangu sijui ndo ilikuwa zamu yako? Nataka nipeleke mashitaka kwa baba paroko
Mkuu siwezi kumkabidhi bazazi binti kama huyo!!