Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
aiseeee..... silaha zangu zina kazi nzito sana leo!
Dogo una shida gani?
aiseeee..... silaha zangu zina kazi nzito sana leo!
twataka kutangaza monogamy type of marriage
Dogo una shida gani?
sikia wewe.. chunga kondoo... usiwale kondoo!
hebu niambie... kilichokukimbiza kwa hasimu wangu parokiani ni nini?
aisee bado unanijibu ukiwa vidole juu?????????????
angelicious.... you are not you you know! you are poisoned!
yani msonyo tu unavunja ndoa hee!! mabig sasa wewe ulifikiri ndoa fashion show jaribu dogo kama hilo
unaacha mke? je ukifumania si utaji-ufoosaro??? lakini me nakupendaga tu we umeniacha miye sijathibitisha kama
umeniacha
Kazi ya baba paroko ni kuwapa kondoo kile wanachotaka
Sasa mi ninakosa gani?
Kuna wema zaidi ya huo?
my hubby miye sijaenda kwa Kaizer kwa makusudi nilienda kule kwa ajili ya maombi only baada ya
kuona sikuelewi elewi halafu sikujua kama hasimu wako mkuu samahani mpenzi sirudii tena.
Mwenzio sikuhizi kawa bazaz,unaonaje ukiwa mke mwenzangu kwa Daudi1
wema neno la MUNGU paroko...! nasema tena... sitaogopa kuvnja parokia kwa sababu ya mpenzi wangu miss neddy!
paroko nakutumia maonyo ya mwisho... sina mzaha wala sijawahi kumchekea mbaya wangu...
combat langu lina ham sana na vita.. naona inakuja sasa!
ishu yenyewe hata weye waijua tena angel kaja hapo juu mbona hujamquote
Vitisho vya kizamani sana hivi
Hebu tafuta nyimbo nyingine naona hii imekosa mashiko
Nimekuambia kuwa kama wao ndio wahitaji nifanyeje?
Hujui kuwa baba paroko ni muungwana?
Na kuna uungwana gani zaidi ya huo wa kumpatia kondoo hitaji lake?
hilo tu....achana nao, wakuache......kuna viumbe hapa vinaulizia jinsi gani ak-47 na missile bombs vinavyofanya kazi!
kibaya zaidi, vinamuuliza mke wangu miss neddy kimbea mbeaaaa!!!
sasa parokia hii ya wanafiki nataka niinyweshe dawa!
short cut...
niko nafanya inner talk na yeye.. please uwe unachanganya na kizungu kidogo eenh!
ukiongea kiswahili complete sikupati vizuri..
hilo tu....achana nao, wakuache......
Kutoka kwako?unaweza kusema wanahitaji nini paroko?
Kivipi?aisee parokia sasa inakuwa casino naona!
ohoooo owky ila leo itabidi ufanye hitimisho btn me na malaika wako